eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,179
Team 3 zinacheza mpira kwa levo ya juu sana pale England
Man city
Liverpool
Chelsea
Man city
Liverpool
Chelsea
Safi mkuu umeongea kiutaalamu,ila i still believe in drogba than these twoGiroud wala sio mbovu, anachangamsha pale mbele, sio mfungaji mzuri lakini anaassists na anachangamsha mbele sio kama Morata yuko kikonokono mno
Safi mkuu umeongea kiutaalamu,ila i still believe in drogba than these two
Drogba kocha, kucheza England tena hawezi labda China au MarekaniSafi mkuu umeongea kiutaalamu,ila i still believe in drogba than these two
Ha ha ha ha Malafyale bhana....Sarriball anajua kufundisha mpira!
Leo ilikuwa ni EPL sio kombe la BATA,huwezi mfunga Liverpool huyu akiwa kamili hata tuchezee Mvomero
Ilikuwa mechi nzuri sana lkn mmekutana na Liverpool yenye benchi zuri
1-1 ni fair result
Ingieni mitaani kushangilia ushindi wenu
Mentor
Ntuzu
kalou
Ollachuga Oc
hazard cfc
Sarrball haikua na shida na Jurgen Klopp wala hakuweza kuisumbua hiyo Sarriball.Na Jengine Mkuu Mentor iangalieni tena Sarriball yenu..
Kwama Wewe Ni Mshabiki Wa Chelsea tu basi Leo Ni sawa!!!
Lakini Kama wewe Ni Mshabiki Wa Mpira Kabla Ya Chelsea basi kuna Weakness Kubwa Sana Katika Mfumo Wenu na Stats Zinaonesha Kuwa Leo Haukufunction Klopp Kafanikiwa Kuutibua..
Sasa Liverpool si timu inayopress Marahii na imefanikiwa Kuudhibiti Sarriball, sasa Siku Mutakayokutana na Timu inayomiliki (Press) Mpira sijui itakuwaje!!!
Willian kuna wakati alionekana kuchoka na hii inatokana na kucheza ktkt ya Wiki, hapo tulimkosa Pedro tu pia Moses amekua hana kasi sn lkn team work ya pamoja inafanya Hazard kufunga lkn km unaangalia vzr lazima uone kuna watu wameanza kutengeneza move ndo Hazard anamalizia.Na Jengine niliwaambia Southern Highland na Mentor Kuwa Msimu Huu Chelsea is all about Hazard Kuwa Yuko Katika Peak Yake Ya Soka lakini Safu Ya Kina Willian, Giroud na Moratta haina Madhara Kwa Timu, Mulinibishia!
Sasa leo Kama Mutazungumza Kisoka nadhani Mumeconfirm.. Kama Mutazunhumzia Kiushabiki basi Mutakataa..
Ulipotelea wapiWakuu tuko pamoja. Naona Malafyale anafurahia sare