Wachezaji wamechoka hapa,wapo burnout maana wanacheza hao hao kila game
Asipo badili mfumo mwaka huu tena hampati kombe lolote

Tatizo sio kuchoka tatizo wachezaji waliizarau hiyo timu na kuona wako home wakachukulia rahisi kua watashinda tu kumbe mambo yako tofauti.
 
Kweli kabisa kaka hayakuwa malengo, lakini imeuma sana kutolewa na timu kama hiyoAnyway tumebakiwa na matatu sasa
 
Asante sn everlenk ni bora tumetolewa ingawa sio km yalikua malengo yetu, lkn hii itasaidia wachezaji wetu kupumzika......

Ni kweli aisee game zimekuwa nyingi sana.....ila mtani siyo kama vile sizitaki mbivu hizi....lol
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli aisee game zimekuwa nyingi sana.....ila mtani siyo kama vile sizitaki mbivu hizi....lol

Hahahahaaaa..............! Unajua mamito km tungeendelea kushikilia haya mashindano yote basi kungekua na uwezekano mkubwa wa kukosa makombe yote. kwa mfano, Liverpool wamebakizi Capital One Cup na EPL wanapambana angalau waingie top four kwahiyo hawa wanpumzika sn kiasi wanaweza kufanya vzr ktk michezo yao alkadhalika kwa Man City, kwahiyo sisi kuendelea kushriki michezo yote ingefikia hatua tukayumba kabisa....Bora imekua hivo angalau tutakua na focus nzuri ktk makombe makubwa mawili maana hili la Capital One ni la kuchukua tu... macho yetu sasa ni EPL na CL
 
Morinho hua ni ms...e na timu nayo yacheza kise....e sana
Bora Liver wamtoe na PSG wamtoe na Apoteze EPL ili atimuliwe ni mjinga sana huyu babu. Kenge kabisa.

Kosa la Mourinho ni lipi labda uniambie ili tuweze kujadiliana....
 
Dharau (complacency) ugharimu sana timu. No sijuagi Kwak mini mkishajua hali si ya kudharau bado hali hua si hali.
 
hatuhitaji vikombe vy mbuzi!' tumewaachia mid table wagombanie,mana vitatusababsha tukose makombe yetu mawili makubwa.

FA Cup ina tofauti gani na zile mechi anazotangaza Mbwiga mbwiguke.

Grand PA
 
Sidhani night halali kumdharau Maurinho kuwa si kocha Kwa kufungwa jana. Mtu asiye kocha hawezi kuwa ma cv kama yake. Jana no mchezo ambao amefungwa name si kweli kuwa makocha bora timu zao huwa hazifungwi. Hapa sasa tuna criticise for the sake ya ku criticise
 
Hahahahaaaa..............! Unajua mamito km tungeendelea kushikilia haya mashindano yote basi kungekua na uwezekano mkubwa wa kukosa makombe yote. kwa mfano, Liverpool wamebakizi Capital One Cup na EPL wanapambana angalau waingie top four kwahiyo hawa wanpumzika sn kiasi wanaweza kufanya vzr ktk michezo yao alkadhalika kwa Man City, kwahiyo sisi kuendelea kushriki michezo yote ingefikia hatua tukayumba kabisa....Bora imekua hivo angalau tutakua na focus nzuri ktk makombe makubwa mawili maana hili la Capital One ni la kuchukua tu... macho yetu sasa ni EPL na CL

Sizitaki mbichi hizi.
 
Haya bana,lakini EPL nachukua mimi baki na Capital one na CL,lol!!!
 
Back
Top Bottom