:) cheka kimtindo

Katika mazoezi ya mgambo kutafuta wanajeshi.uliwadia muda wakulenga shabaa,kamanda wa kikosi akasikia mmoja wa mgambo wake anamwaga risasi kama rambo,akamfuata akaangalia wapi alipopiga,akakuta hajalenga hata risasi moja kwenye ile karatasi ya shabaa.akamuuliza

kamanda-mbona hujapata hata point moja kwenye kulenga shabaa?umebakiwa na risasi ngapi?

Mgambo-siwezi,na nimebaki na risasi moja

kamanda-(kwa hasira)nenda kule msituni kajiue nayo kichwani ufie hukohuko.

Mgambo akaondoka akaenda porini kujipiga.dk2 zikaisha huku kwa kamanda wakasikia mlio wa risasi,kamanda akaamua kwenda kumwangalia kama jamaa amejipiga kweli,hata hajafika porini anakutana na mgambo anarudi.

Kamanda-wee sinilikuambia uende ukajiue

mgambo-nimejipiga ila nimejikosa.
 
Daktari wa saikolojia alitembelewa na askari jela na mazungumzo yakawa hivi.
ASKARI:hivi dokta huwa unamjuaje mtu aliyechanganyikiwa akili?
DR:Aaah huwa namuuliza swali jepesi ambalo mtu mwenye akili timamu ataweza kulijibu.
ASKARI:Swali kama lipi?hebu nipe mfano.
DR:Ok...kwa mfano...Chifu mkwawa aliwahi kupigana vita mara tatu na kifo chake kilitokea akiwa vitani.Je ni vita ipi hiyo??
ASKARI:Aaah..mmmh...kwa kweli mi siko vizuri sana kwenye historia,hebu nitafutie swali lingine mbali na historia
 
Mwalimu wamatahira aliingia na nazi dasani akawambia hili ni yai la tembo nanianaweza kulisotea mpaka tembo atoke tahira lakiume likatoka mbele likaenda kulisotea mpaka suruali ikachanika wenzake wakaona jogoo wa jamaa anaanza kutoka, wakaanza kushangilia mkonga mkonga ghafla wakaona p**bu wakasema masikio masiko mwalimu hoi!
 
Kulikuwa na mzee mmoja mkali kishenz
i ila alikuwa hajui kiingereza
kabisaa... Mwanae
anayesoma
international schol
alikuwa na demu wake
ambaye one day demu
akaenda kumcheki
mshkaji kwao...
Kufika akamkuta jamaa
kakaa sebuleni na
mdingi wake... Yule
kijana baada tu ya
demu kusalimia
akamwambia yule demu
wake...
''Aahaaa, ndo umekuja
kufata kile kitabu cha
'Speak english my
father doesn't know?!''
Demu akamjibu, "Ndiyo
na naomba uniazime kile
kitabu cha story cha
'what about our
promise?'
Kijana akajibu, "Kile cna
kipo cha 'Wait for me
under the coconut tree
outside".
Daah, dingi kusikia hivyo
akanyanyuka na kumpa
dogo mwekundu na
kumpongeza kwa
kupenda kusoma vitabu
then akaelekea zake
 
Mama mmoja wakati anamfokea mwanae mdogo alieharibu jambo alimalizia kwa kumuambia...
"...muone kwanza, sura mfuko wa jeans"
Mtoto akauliza "wa mbele, wa nyuma?
 
Wanaume wawili walikua wanataka kupigana
Wa 1:Nipige uone kama hutashtakiwa na watu wa haki za wanyama
Wa 2:Bahati nzuri unajijua kama una sura kama NYATI
 
ah haaa haaaa...................mkuu na ile ID ya Jguar ni ya kwako nini???kuna kigezo fulani ukiacha fun msgs kuna kigezo nakiona hebu ntaku pm
 
ah haaa haaaa...................mkuu na ile ID ya Jguar ni ya kwako nini???kuna kigezo fulani ukiacha fun msgs kuna kigezo nakiona hebu ntaku pm
mkuu hii dah unanitisha....ebu nipe hiyo kigezo,ni Pm
 
Jaama aliingia kwenye daladala,akakutana na dada m1,mazungumzo yalikuwa hv.....
Jamaa:Samahan dada et we unaitwa google?
Dada:Hapana...,mbona umedhania hvyo...?
Jamaa:Kwa sababu una kila kitu nnachotafuta
Haaaaa haaaa haaaaa!excellent bwana!
 
Katika mazoezi ya mgambo kutafuta wanajeshi.uliwadia muda wakulenga shabaa,kamanda wa kikosi akasikia mmoja wa mgambo wake anamwaga risasi kama rambo,akamfuata akaangalia wapi alipopiga,akakuta hajalenga hata risasi moja kwenye ile karatasi ya shabaa.akamuuliza

kamanda-mbona hujapata hata point moja kwenye kulenga shabaa?umebakiwa na risasi ngapi?

Mgambo-siwezi,na nimebaki na risasi moja

kamanda-(kwa hasira)nenda kule msituni kajiue nayo kichwani ufie hukohuko.

Mgambo akaondoka akaenda porini kujipiga.dk2 zikaisha huku kwa kamanda wakasikia mlio wa risasi,kamanda akaamua kwenda kumwangalia kama jamaa amejipiga kweli,hata hajafika porini anakutana na mgambo anarudi.

Kamanda-wee sinilikuambia uende ukajiue

mgambo-nimejipiga ila nimejikosa.
Haaaaaa haaaa haaaaa!uwiiiiiiiii jaman jf rahaaaaaaaaa!big up mkuu!
 
Daktari wa saikolojia alitembelewa na askari jela na mazungumzo yakawa hivi.
ASKARI:hivi dokta huwa unamjuaje mtu aliyechanganyikiwa akili?
DR:Aaah huwa namuuliza swali jepesi ambalo mtu mwenye akili timamu ataweza kulijibu.
ASKARI:Swali kama lipi?hebu nipe mfano.
DR:Ok...kwa mfano...Chifu mkwawa aliwahi kupigana vita mara tatu na kifo chake kilitokea akiwa vitani.Je ni vita ipi hiyo??
ASKARI:Aaah..mmmh...kwa kweli mi siko vizuri sana kwenye historia,hebu nitafutie swali lingine mbali na historia
Haaaaa haaaaa haaaaa!askari kachanganyikiwa!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom