Cheche: Ya Mboma, Meremeta, na Apson!

Angalau sasa naanza kuelewa kwa nini kuna watu wanamvalia njuga MKJJ, haangalii sura, dini, rangi, kabila wala cheo cha fisadi. He dares tread where the faint-hearted will never never venture kwa sababu woga ameishaupa kisogo, come what may. Every thing starts with but one step, asiogopwe tena mtu and MKJJ has shown the way.

Big up MKJJ, you are one of the select few who have decided not be swayed by the cheap rhetoric being perpetuated by the sycophants and because of this I salute you. Cheche may be a lone voice in the wilderness of JF but its aftershocks will reverberate across the beautiful land of Tanzania and some of us will try our best to make sure it does.

I call upon all JF members who have the interest of our country at heart to make copies of Cheche available to as many wananchi as one can. I, with my little resources, am starting right now and yes, we can !!!
 
Mchezo unaochezwa na watu wa UwT haukubaliki.

a. Mchukue Nyaraka za BoT (bila makabidhiano rasmi na Gavana mpya) na anayetumwa kuongoza operesheni hiyo ni mtu ambaye anahusishwa na kuchukua fedha za EPA halafu baadaye anaongoza kamata kamata ya wenzake.

b. Mtu huyu alistaafu mkamrudisha kwa "maagizo" ya Apson

c. Mtuhumiwa huyo huyo mkamuacha aongoze taskforce hiyo wakati mnajua kabisa stori yake haingii akilini.

d. Wakati akiwa mtumishi wa TISS alishaanza biashara zake za pembeni

e. Mpango wa kumpeleka Mtaliano mahakamani (ka nzi keti kamemuona ananyong'onyea siku hizi mbili) (hujui ni nani soma Cheche) ukitekelezwa hakikisheni na Ngowi yumo.

f. Hadithi mliyoitunga ya Infiltration inaweza kupanguliwa kama kuangushwa kijiti cha "tule tumbakishie baba"). Ngowi hakuinfiltrate syndicate wala nini, Apson knows that na RO unajua hilo. Kwanini mnamuamini kufuatilia suala la EPA?

g. Bahati mbaya sana kama wahalifu wengine wahalifu hufanya makosa na Apson na Ngowi wamefanya makosa ma Rostam na wenzake walivyofanya makosa. Mnayajua na mnashiriki kuyaficha kwa sababu ni "wenzenu".

Nina matumaini kama tungekuwa na taasisi huru kweli, baadhi yenu mngekuwa mmetiwa pingu siku nyingi zilizopita kwa kuweka rehani usalama wetu na utu wetu kuubinafsisha!

Mnataka kupewa pongezi kwa yale yanayoendelea sasa, hata hivyo pongezi hizo zinakuja kwa sababu wenyewe mnashiriki kuchafua ushahidi na mchakato mzima wa kutafuta haki.

Ushauri wangu kwa DPP. Ingilia kati UwT na uichunguze vinginevyo unaingizwa mjini kwa ushahidi nusu na kuwapeleka mahakamani vijiti tu wa EPA wakati ring leaders wanashikiri kukusanya ushahidi dhidi yao huku wakati huo huo wakifuta na kuharibu ushahidi wote unaowagusa wao wenyewe!

RO ushauri wa bure; mng'oe Ngowi au utaanguka naye! Wakati umefika kaanganeni nyinyi wenyewe kwa mafuta yenu wenyewe ! Kwani mmeyakoroga wenyewe sasa mtayanywa hata kwa kuzibishwa pua!
 
Mhhhh kama trailer ya James Bond duh tuna kazi si kidogo.
Lakini acha walindane hata miaka na miaka na miaka tuatakuja kuwashtaki wao pamoja na hao wanao sita kuwachukulia hatua sasa .
 
Tuko wote sasa. Ile list aliyotoa Inv na kusema kampuni chungu nzima ni Jeetu ilitia wasiwasi, wakati nyingine ni za jamaa huyu.
 
Field marshall ni hatari hadi nimeanza kufuatilia post zake za nyuma..kweli CCM walianza zamani epa ni kitu cha kawaida..someni below!!

Field Marshall ES Field Marshall ES is online now
Field Marshall ES has no status.
JF Senior & Premium Member

Join Date: Thu Apr 2006
Posts: 7,393
Rep Power: 37
Field Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud ofField Marshall ES has much to be proud of
Thanks: 7,470
Thanked 6,464 Times in 2,648 Posts
Credits: 736,298
Default
Mzeee wangu Kishoka,

Hehima mbele mkuuu, nilkuwa sijaiona hiiii, anyway Kapinga ndiye aliekuwa Mkurugenzi wa Sukita kabla ya hapo alikuwa DABCO akaiila weee mpaka ikaisha, akapewa Sukita, nayo ikaliwa weeee mpaka ikaisha, but at the same token toka enzi za TANU, hela za kuiendesha TANU/CCM zilikuwa zikichotwa hazina bila kumbukumbu kubaki, ilikuwa ni siri ya Mwalimu na waziri wa Fedha,

Ilipokuja mult-party system ukawa ndio mwisho wa huo mchezo, ndio mana ukaona mtu yoyote anpewa uwaziri huo siku hizi, sio kama zamani ambapo ilikuwa special people tu! Sasa CCM haiwezi tena kuchota hazina, maana wafadhili wanaaangalia kwa makini, sasa tuna waarabu na wahindi ndio wanaotusaidia kukiendesha chama financially, mali chache za Sukita na miradi mingine ziliishia kuingizwa kwenye mfuko wa CCM under Kolimba, ndipo Sukita ilikufa rasmi,

CCM haina hela kama wananchi wengi wanavyoaamini, the matter of fact pale makao makuuu ya CCM Dodoma labda kuna laini moja tu ya simu inafanya kazi, otherwise viongozi kama kina JM, na Makamba hutumia simu zao za mikononi that is how cheap the chama is, mshahara wa viongozi hao wa juuu hauzidi sillingi laki mbili kwa mwezi, and I mean it!

Kuhusu uchaguzi uliopita, ni lazima uwape CCM credit maana sasa wamegeuka kama vyama vingine kuwa vyama vya uchaguzi tu, CCM ina vichwa vingi vyenye akili za kufikiria namna ya kuendelea kutawala, sasa kama umeona Muuugwana leo anavyoshangiliwa na kupokewa na maelfu ya wananchi kila anapokwenda, sio bongo au nje ya nchi, je utawalaumu CCm kwa kumchagua yeye badala ya wenye experience? Ndio kubadilika kwenyewe kwa dunia bro!
Ndio maana pamoja na machungu yote ya uchaguzi, bado wako kitu kimoja na ni only in bongo, maana ungetegemea baadhi yao wajitoe kwa kutoridhika, NO! ndio hasa point yangu ninaposema vyama vyote bongo vimegeuka kuwa ni vya uchaguzi tu!

Kapinga mzee wa Songea, alikuwa na mzito aliyekuwa akimkingia kifua na ndio maana hata Sukita ilipokufa hakukuwa na maneno, hivi unajua jamaaa waliokuwa huko Sukita hata ma-messengers walijenga nyumba kile kipindi?

Sijui kama nimekusaidia kuelewa brop!
 
Sukita=deep green=meremeta=mwananchi?? hadi mwalimu alijua mchezo huu?? kwaiyo asingeshangaaa ya EPA!!!
 
Watu wengine bwana hawatoi msaada wowote! Jamaa anaomba hiyo link na wengine wanakazania eti awe na printer! Mpeni hiyo link na ndio aweze kuprint ili apate hard copy! Hilo jarida sio kila mtu amepata kwenye email yake and inawezekana kabisa huyo jamaa hapo juu hajapata sasa anaomba url ili aprint apate - sasa tatizo liko wapi? Hata kwa Michuzi ukibofya link ya jarida hili ikifunguka inakupa tuu front page peke yake - unless jarida lote ni page moja!!!

Mwanakijiji, weka link hiyo wazi if you want wider view of this jarida. Your website also doesn't have the link as far as I can see.
 
Watu wengine bwana hawatoi msaada wowote! Jamaa anaomba hiyo link na wengine wanakazania eti awe na printer! Mpeni hiyo link na ndio aweze kuprint ili apate hard copy! Hilo jarida sio kila mtu amepata kwenye email yake and inawezekana kabisa huyo jamaa hapo juu hajapata sasa anaomba url ili aprint apate - sasa tatizo liko wapi? Hata kwa Michuzi ukibofya link ya jarida hili ikifunguka inakupa tuu front page peke yake - unless jarida lote ni page moja!!!

Mwanakijiji, weka link hiyo wazi if you want wider view of this jarida. Your website also doesn't have the link as far as I can see.

Mnyalu, jaribu hapa. Lakini inabidi uwe-registered ili uweze ku-download na ku-print. Ukiwa na latest Adobe Reader is even better. Pambele

Jarida la Cheche - MwanaKijiji.COM
 
Angalia lugha yako!! sidhani kama ni ustaarabu kuita watu SYCOPHANTS...ukiitwa wewe majina ya hivyo utakimbilia kwa Mods huku unalialia umetukanwa!! Isitoshe una uchache sana wa kitu flani kichwani na huelewi kabisa darasa la jinsi "vichwa" vinavyofanya kazi.....au pengine umekuwa kienyeji kama wale kuku wa kibongo!

Soma hii hadithi hapo chini "The Lady or The Tiger," halafu kwa mara ya kwanza in a looooooooooong time na kushawishi ufikirie kwa kina!!http://www.eastoftheweb.com/short-st...LadyTige.shtml Watu wana haki ya kumpinga MKJJ kama wewe ulivyo na haki ya kumuunga mkono......mijitu mingine hoooovyo sana!

- Sometimes huwa ninafikri nimemaliza kuhesabu vichwa JF, then comes this ninarudi kuanza kuhesabu tena, upyaaaa!

- Mkulu kama kawaida yake asiyekubali mawazo yake basi ametumwa, anatumiwa bila kujua, ooh fisadi anasubiri kuingia, na sasa Sycos, ila Mkuu ungejua facts za wanaotumiwa na kutumwa hapa JF wala usingethubutu kusema sema maneno yako, ndio maana huwa tunakuangalia kwa macho mawili,

- kupinga hoja sio kumpinga mtoa hoja, wote hapa lengo ni moja ila sio lazima tuwe na mtizamo wa uniform ambao hata wa-China umewashinda siku hizi, na I am glad kwamba somebody else amekujibu kabla yangu, maneno ya kuita wanachama wengine wa JF Sycos eti kwa sababu hawakubali mawazo yako ni a call for a serious brain examination of exactly nani hasa ni Syco, kati yako na uliowatukana, it is low na haitakiwi kuruhusiwa kuwepo hapa JF, lugha za chooni kama hizi zisiruhusiwe hapa kwa wanaohusika.
 
Wana JF tukubali kuwa katika miezi minne sasa jamvi limeingiliwa na watu ambao lengo lao ni kuleta distraction. Toka mwanzo members walikuwa na mtazamo wa kuelimishana, kufahamishana na kujuvyana yale yanayoisibu nchi yetu, na kuelezena kwanini tuko tulipo kama nchi, na kujadili namna ya kuindoa nichi yetu ilipo ili walau tupige hatua mbili tatu ambazo tunahakika tunaweza kupiga. Sasa tukianza kusikiliza matusi ambayo tunajua hayajengi, tutakuwa tunaingia kwenye mtego wa watu walitumwa kuleta distraction. Tukumbuke kuwa "when you argue with a fool, others may not nitice the difference". Ingawa humu tunajuana, lakini ni kupoteza wakati. Muhimu ni kuwa tupingane kwa hoja, au hoja zetu zipingane that is what has always been.
 
MMJ vipi zile tetesi za madeal ya mafuta ya jeshi?

- Siku kutakapoguswa huko tu, utaona yatakayojiri mark my words! Maana watakuja mpaka humu ndani bila hodi! Maana kumbuka mstaafu wa idara ni a former military man,

hivi unajua alipokuwa soldier professional yake ilikuwa ni nini? Na aliyowahi kuyafanya live na hiyo professional yake, kwenye army? Yaani wee acha tu ndugu yangu!
 
Angalia lugha yako!! sidhani kama ni ustaarabu kuita watu SYCOPHANTS...ukiitwa wewe majina ya hivyo utakimbilia kwa Mods huku unalialia umetukanwa!!

Isitoshe una uchache sana wa kitu flani kichwani na huelewi kabisa darasa la jinsi "vichwa" vinavyofanya kazi.....au pengine umekuwa kienyeji kama wale kuku wa kibongo!

Soma hii hadithi hapo chini "The Lady or The Tiger," halafu kwa mara ya kwanza in a looooooooooong time na kushawishi ufikirie kwa kina!!

Short Stories: The Lady Or The Tiger? by Frank Stockton

Watu wana haki ya kumpinga MKJJ kama wewe ulivyo na haki ya kumuunga mkono......mijitu mingine hoooovyo sana!

Ninavyojua mimi neno sycophant utaliona tusi kama tu unataka liwe tusi. Mimi nimewahi kuitwa sycophant humu humu JF kwa kumuunga mkono mchangiaji moja. Kwa sababu nalielewa hilo neno sikulalamika - mimi on the other hand sijalielekeza kwa any specific individual. Hata hivyo kama kuna mtu amekwazwa na hilo neno tu na sio maudhui mazima ya post nasema SAMAHANI.
 
Ninavyojua mimi neno sycophant utaliona tusi kama tu unataka liwe tusi. Mimi nimewahi kuitwa sycophant humu humu JF kwa kumuunga mkono mchangiaji moja. Kwa sababu nalielewa hilo neno sikulalamika - mimi on the other hand sijalielekeza kwa any specific individual. Hata hivyo kama kuna mtu amekwazwa na hilo neno tu na sio maudhui mazima ya post nasema SAMAHANI.

Ni busara nadhani watakuelewa....Si vyema kurudisha tusi kwa tusi ama kutukana simply kwasababu ulitukanwa...Ingekuwa hivyo mambo yangekuwa magumu zaidi hapa JF.
 
once again big up mwnkjj..............

mwanakijiji amefanya part yake nawe unaweza kusaidia kwa kutoa print out na kuzisambaza kwa kadri uwezavyo, mie nafanya hivyo sasa hivi!

Mama Paroko,

Kama mimi vile...... kuna wakati hatima ya maisha ni kubwa kuliko gharama ya kukaa bila kufanya chochote.

Hongera Mwanakijiji kwa kutupatia cha kujadili kwenye vikao vingine kwa wiki ijayo.

Safi sana
 
MKJJ,
Shabiki wako bw/bi. Mag3, ka-commit two terrible fallacies ktk post yake hapo juu!! halafu akatuwekea na deductive reasoning ya Aristotle....kwa taarifa zake ni kuwa, sio wooote wanaopingana na MKJJ hapa ni sycophants, au ni mashabiki wa mafisadi, au wanachuki binausi, au vyovyote!!! Hizi ni mind battles...ni watu kama Mag3 ndio wanarudisha nyuma bongo.

Lakini ninapothubutu kuunga mkono hoja ya MKJJ ni ruhusa kuniita shabiki wake.
Kazi kweli kweli.
 
Back
Top Bottom