Tonge
JF-Expert Member
- May 7, 2010
- 695
- 12
Wandugu wapenzi, kwanza niwape pole watanzania wenzangu wa gongo la mboto, Mungu awape moyo wa uvumilivu kwa yaliyotokea.Pili nitoe HONGERA zangu kwa ARSENAL kuwafunga Barcelona 2-1, najua wapenzi wa Man U na wale wasioitakia Arsenal mema wameumia sana, ila kubali msikubali arsenal ya sasa ni noma.