Yaani hayo Magorofa hayajaongezeka tu toka Nyerere 1962 hadi Kikwete? 2013?
Tungeoneshwa idadi ya Maghorofa ya Enzi hizo nz Skyscrapper za Jiji la Dar leo
Picha haiendani na uhalisia wowote kwanini inaficha upande mwingine?
ndio mkuu na waziri mkuu alikuwa mamvi na kwa mkwala akamsimamisha mkurugenzi nyundo pale pale hadharani na kisha ikaundwa tume nzito kama kawaida je katika hao wengine wapi ilanguka ghorofa.ama kweli kuna watu wana mikosi humu duniani.karibu pilau ikulu mkuu.Hivi lile jengo la chang'ombe lilianguka wakati wa JK?
Nimegundua humu jamvini kuna mambulula wengi sana.haliyetupia izi picha hana upeo mkubwa wa kufikili.