Charles taylor kitanzin leo

Andrew Jr

JF-Expert Member
Apr 23, 2012
330
117
Aliyekuwa Rais wa Liberia Charles Taylor leo katika mahakama ya The Hegue atahukumia mbele ya majaji watatu.
Kesi hiyo iliyokuwa na mashahidi 100 inamtuhumu bwana Taylor kuhusika na vita vya zaidi ya miaka 100 na watu zaidi ya milioni 20 walipoteza maisha. Imearifiwa walaiberia wanasubiri hukumu hiyo kwa hamu.
Sasa bongo ingekuwaje,,tungeweza kuwashtaki?
 
Si useme, unataka tumshtaki nani naka nini?, unataka jf ndo wakusemee moyo wako.
 
Mkuu nimeifuatilia ile kesi ushahidi mwingi ulikuwa wa kimazingira na haukumhusisha Charles Taylor moja kwa moja, kumbuka hata Naomi Campbell alivyoshindwa kukiri kuwa alipewa almasi na Taylor. Nadhani upande wa mashitaka hawakuwa wamejipanga vizuri. Ila pia ICC inataka ioneshe ina nguvu so tutegemee lolote.
 
Back
Top Bottom