Channel Ten mbona mnaegemea upande wa polisi?

Zak Malang

JF-Expert Member
Dec 30, 2008
5,404
234
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.
 
Wanaogopa ban ya serikali.
 
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.

Mkuu sio channel Ten tu! Hata yule ripota wa BBC - dira ya dunia jion kapwaya sana.

Kila alivohojiwa na mwenzie upande wa pili aling'ang'ana na hawakutii amri ya polisi na wangesimamisha shughuli nyingi za uchumi zipi na kwa muda gan, nawasi na shule yake.

Hakujiongeza akili walau kidogo tu, kwamba simba na yanga zikishinda hufanya vurugu na maandamano yasiyo rasm mbona polisi hukaa kimya?

Je hao wandamanaji walikuwa milion ngapi na wangefunga njia kwa muda gan?

Ally kauwawa kwa upumbavu tu wa polisi.
 
Polisi wanataka kudai yale ya nape kuwa chadema wamejidhuru wenyewe.NAPATA WASIWASI KUWA HILI TUKIO HATA MAGAMBA TAIFA NDO WAASISI.eti wanachunguza coz wao wametumia mabomu ya machozi tu.
 
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.

mimi sasa nawaombea chadema washike dola ili hawa manyang'au wapate adabu yao. Kwa nini wawaue Raia?
 
Cha hajabu ni pale polisi wanapotumia neno KUKATAZA MAANDAMANO kama ndo kibali cha kuua mtu. Nasikia hasira sana
 
Mara nyingi huwa inaanza taratibu na inakuja kuwa kweli the street will be fed up and people shall rise against the rulers too much torture siku zote mtu havumilii milele
 
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.
Ndugu yao, we acha tu, wanalinda leseni yao sio utu ama ubinadamu, acha wampe nafasi, lakini yana mwisho haya, hata wakoloni walikuwa hawajui hili mpaka pale walipoona bendera yao inashushwa, nakumbuka kitabu cha kuli"YANA MWISHO HAYA"
 
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.

DOLA kwanza mkuu, Chama kama kimeonewa kinatakiwa kwenda mahakamani
 
Ni kuhusu kumpa nafasi Shigolile RPC Moro kuongelea kwa upande wao kuhusu tukio la kuzuia maandamano. Ch Ten wangetenda haki iwapo msemaji wa CDM nae angepewa nafasi rasmi ya kulizungumzia tukio hilo kwa upande wao.

CDM bwana, nasikia waliwatanguliza mbele watu wa kupigwa mabomu wao wakatangulia eneo la mkutano.
 
sasa kama ndo ukweli unataka waegamie wapi?

Chombo cha habari kinapaswa kutoa taarifa bila upendeleo kwa pande zote mbili,sio vizuri kutoa habari ya upande mmoja tu sababu itafanya wananchi nao waegemee upande mmoja Kama wewe ulivyofanya hapa ktk mawazo yako.Usifurahie damu ya binaadamu kama wewe kumwagika/kumwagwa na polisi wasiozingatia maadili ya kazi zao na wanaosukumwa kwa amri na wao wanaua tu utafikiri wanaua mnyama,fikiri huyu alieuwawa angekuwa ndugu yako wa damu je ungekuwa na mawazo Kama haya kweli!!?
 
Nilikuwa nafuatilia kwa ukaribu matukio yaliyojiri leo mji kasoro bahari kuhusiana na tafrani kati ya Polisi na wapenzi wa chadema.Nilitegemea Television ya Taifa TBC1 wangetueleza lakini cha ajabu wamechuna lakini chanel ten walitangaza na kumwonyesha mtu alipigwa risasi kisogoni.Habari sensitive kama ile siyo ya kubana. kwa watanzania wanaoitegemea TBC1 inayoendeshwa kwa kodi zetu wakuwa deprived of vital information ambayo ni haki yao kikatiba!:A S cry:
 
Back
Top Bottom