Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,587
- 1,137
Nimewaza hii biashara za kukusanya simu used mitaani na kupeleka vijijini huko nikapige pesa, kwa mfano kuna siku nilinunua simu 1 hapa town 12000 jamaa aliliwa katika kamali akawa hana nauli akauza 12000 kitochi, mimi nikaenda uza 17000sh. Kwa hii trend nikiuza simu 10 kwa siku naweza laza 40-50 asanteni.