Changamoto za ajira kwa watu walemavu na wengineo

baba aura

JF-Expert Member
Aug 5, 2023
231
353
Habari wakuu,

Kumekuwa kuna mambo mengi yanayowakumba watu wenye ulemavu wanaotafuta ajira hasa unakuta mlemavu amefanya interview ya written nakufauru vizuri lakini akifika kwenye oral interview huwa wanafeli(ukweli usemwe; wengi huwa wanajibu maswali vizuri tu ila huwa wanachakachuliwa tu.

Ma kuna mengi mengineyo ambayo huwa yanatokea kwa walemavu katika utafutaji wa ajira,COMMENT MAONI YAKO HAPA
 
Atleast utumishi shuhuda za watu wenye disability waliopata tumeziona, huko kwingne sijui
 
Serikali mbona inawaconsider sana walemavu jaman, kama mm darasan kwetu tumegraduate 2021 ila waliokuepo darasani kwetu kama sita iv wamepata kazi
 
Back
Top Bottom