Mi sababu ipo rundo mbona umeuliza swali utafikiri we mgeni hapa Duniani.
Jamani mi napenda kujua, na mtu yeyote anaweza toa mawazo wake hata kama hajaoa bado. Hivi kutoka nje ya ndoa ( kuwa na mpnz mwingine nje ya ndoa) kunasababishwa na nini?? na kwanini cku hizi swala hili limekuwa common sana???
Hivi wewe Billie ukitoka nje ya ndoa yako utakuwa unaenda kutafuta nini wakati mkeo tu umesema anakuua
Mshangae na wewe!
Mwanaume kutoka nje ya ndoa ni dalili ya uvivu! Tena ni aibu kwake kabisa! Hakuna mwanaume anaeweza kuridhisha wanawake wawili! Ukiona unatoka nje ni uvivu wa kumridhisha mkeo ndo unakusumbua. Ujijue una-bip kama yule wa 3 minutes kama uji wa quicker oats (instant meal). Na mkeo kama ana akili akijua anakudharau badala ya kuumia!
Ushahidi ni kuwa wanaume wanaotoka nje wake zao nao wanatoka (na ni majority siku hizi). Ni vile wanawake hawashoboki so hawaonekani sana.
Niliambiwa hata Mtume akiruhusu kuoa wake wengi haikuwa kwa ajili ya ngono bali kwa ajili ya 'kuwasitiri' wanawake. Sasa kama issue ni satisfaction ya ngono, si muoe wake wengi?