A
Anonymous
Guest
Mradi wa maji Ihungo-Bugashani-Nyakato-Burugo - Kahororo manispaa ya Bukoba.
Mamlaka ya maji Buwasa wameshindwa kutekeleza ni miaka mitatu sasa wananchi wa maeneo haya wameshindwa kupata huduma hii ya maji.
Sambamba na mkuu wa mkoa Kagera kuendeleza jitihada za kuutangaza mkoa na kuwahimiza wana Kagera kuendeleza mkoa wao bali watumishi wa umma wameendelea kumrudisha nyuma.