Changamoto kwa wizara ya Magufuli

Dopas

JF-Expert Member
Aug 14, 2010
1,151
392
WanaJF, ingekuwa tz yetu ya siaaaasa nyingi na utendaji mdogo ingewezekana????
foto
Here's the picture of the Road shortly after the earthquake.

Passing on the great Highway, it would seem that the Kantō earthquake of 11 March never happened: the street is perfect.

Destroyed by the earthquake, now it is again passable. Work has begun on 17 March and six days after….
2011323
 
Imesomeka mkuu!! Ni changamoto kubwa kwa tz; watu walifanya kazi mchana na usiku. Kweli wa japan nimewavulia kofia. Ingekuwa hapa bongo nadhani tungemaliza mwaka, au kutafuta daraja la kijeshi la dhararu tu.
 
Ukiwa na pesa na planning nzuri kila kitu kinawezekana. Huwezi kuilinganisha Japan na Tz kwani hao wajap ndio wanaotusaidia kujenga hizo barabara zetu.
 
Back
Top Bottom