Changamkia kiwanja kwa bei nafuu - kipo tegeta, madale, kwa mbopo

sajosojo

JF-Expert Member
Apr 14, 2010
1,017
619
Sifa zake, kiko tegeta,madale kwa mbopo. kimepimwa na kina docoment zote (yaani hati),ukubwa wake ni 70 kwa 45 mahali kilipo ni eneo lililojengwa tayari sio porini na gari inafika bila matatizo,bei yake ni mil 14 maelewano yapo.For more info nichek 0713532322
 
Huu ukubwa upo kwenye vipimo gani?
Mita au Futi??
 
Huko Madale si ndio kule watu walipobomolewa kwa madai kuwa ni wavamizi!
 
Walikobomolewa kivip wakati kuna kina hati?Ukubwa wake ni katika mita
 
Siyo msanii wewe ile thread ilikuwa haina maelezo yanayojitosheleza thats why nimefungua nyingine.Soma maelezo fresh kabla haujakoment kama wewe unaakili viwanja vya waliobomolea vina hati?Maana hiki kina hati na kuna wengine wamejenga.
 
Sio fresh kuharibu matangazo ya watu kwa kuwatia hofu wateja wenye nia njema maana mtu yeyote mwenye akili anaweza kutofautisha sehemu zilizobomolewa maana zinaonekana wazi na magofu.Na sio sehemu zote za madale na wavamizi
 
Thread post kama haina maelezo ya kutosha si unaifanyia editting tu, haina haja ya kufungua thread nyingine. Katika options panel hapo chini kuna option imenandikwa edit post ukiclick hiyo inakusave trouble ya kuanzisha thread nyingine.

Kuhusu watu kukushuku, ni kutokana na jinsi unavyopost na unavyokimbia maswali. watu wakiuliza wajibu kwa confidence. Angalia mfano wa Akiri jinsi anavyopost, hakuna mtu anaweza kudhani kuwa ni msanii. Toa taarifa sahihi na za kutosha, maswali yakijitokeza yajibu accordingly. Kwa mfano, kuna sehemu umesema kiwanja siyo chako, halafu ukasema wachangiaji watakufanya upandishe bei hicho kiwanja. Sasa kiwanja ambacho siyo chako utakipandisha vipi bei? Kuwa mwangalifu na vitu kama and try to be as genuine as you should kwa sababu humu kuna detectives wa aina mbalimbali, ukileta ujanja ujanja watakukamata tu.
 
Last edited by a moderator:
Unajua hiyo lugha uliyotumia kwamba huyo tapeli umeni pre-jugde na pia umeniharibia biashara maana kama we unahisi hivyo bora ukae kimya kuliko ukapost kwa public.Pia kuhusu kukujibu mapema maswali yako,si rahisi coz natumia phone.Ungenicall ingekuwa simpl
 
Mkuu mbona uka soo defensive, kujitetea kwiingi..kama ni hivi biashara utaiweza kweli. Watu wanapenda kupata detail za kutosha kabla ya kufanya maamuzi. Tena masuala ya ardhi ndio yamejaa utapeli mwingi ndio maana unaona maswali mengi kwa hiyo acha kujitetea!!
 
Back
Top Bottom