Chandarua

mopaozi

JF-Expert Member
Nov 17, 2010
3,301
520
Nilipochomeka mara ya kwanza ukachomoa,Nikajua hujazoea,Nikachomeka mara ya pili,ukachomoa tena ikabidi nikuvizie ukiwa umelala uliposhtuka ukachomoa tena hapo ndipo nilipoamua nikuache maana hujui umuhimu wa CHANDARUA,,,,,,
 
mopaozi usijisikie vibaya nikikwambia kwamba joke hii ningefurahia sana na kukaa nikifikiri kama ungeishia kwenye neno 'hujui' na maneno yaliyofuata baada ya hapo kuyaondoa.Hayo ni mawazo yangu binafsi, siwakilishi mtu yeyote. Pia title ingekuwa: KUCHOMEKA NA KUCHOMOA
 
... naunga mkono hoja !
 
Back
Top Bottom