Chandarua bungeni pliiiiiz...

Hapo alistuliwa na makofi mengi ya Magamba naye akaanza kupiga meza bila kujuwa kwa nini kinaendelea!
 
Akistuka hapa , "hapa kuna tatizo........ , ila mwisho naunga mkono hoja "
 
Mzee kachoka huyu!

Aibu kubwa hadi kwa watoto wake kama anao!!

Ingekuwa enzi za shule tungewazomea mpaka wangekoma!!

Baba linakoroma hadi Bungeni? Mbona Wassira unatia aibu jamani??
 
Hawa ndio mawaziri wa Kikwete; usitegemee maendeleo toka kwa watu kama hawa!! Hata ofisini ni hivyo hivyo tu kazi yao kulala.
 
Hakuna cha kujitetea wote wanalala!!! ajiteteee kwa nani maana wananchi ndo kabisa wamabezwa na mkulu bado anagundua ulimwengu"!!
 
Kila kitu kina mwisho wake ingawa akili inataka lkn mwili ndio hivyo tena umeshachoka.mzee amechoka anahitaji kupumzika lkn bado mbishi.
 
hakuwa amelala hapo huyo baba hana papala ktk mambo yake km ubongo wako unaroll tizama vizuri hyo picha utaona kuwa hajalala.atalalaje ilihali hapo alikuwa anagonga meza kusuport hoja.me ndo mana nasema cdm hamna akili mnajua upambe na kuchafuana.fanyeni siasa za akili la cvyo hata mkiruka hewan kwa baloon watanzania hawatawapa kura.mtaendelea kuwa vivuli.
 
Acha alale maana hana msaada hata kama angekuwa hajalala, zaidi ya kuongeza namba ya wanamagamba bungeni tu.
 
Back
Top Bottom