kITUO CHA TELEVISHENI CHA TBC, KILITANGAZA JANA KUWA WATU NANE WAMEFARIKI NA WENGINE SITINI NA NANE WALIJERUHIWA. HII INAWEZEKANA NDIO HABARI YA KWELI, YA KWANZA ILIYOTOKA ILIVYO KABLA HAIJACHAKACHULIWA. JESHI LA POLISI NCHINI MWETU LINAHUSIKA NA KASHFA HII, KWANINI ASKARI WA USALAMA BARABARANI WANARUHUSU ABIRIA WENGI KUSAFIRI NDANI YA BASI MPAKA WENGINE WAMESIMAMA. KWA HESABU YA HARAKA HARAKA BASI HILO LA CHAMPIONI LILIKUWA NA ABIRIA 76. IELEWEKE, PAMOJA NA UCHAKAVU WA MATAIRI AU MAGARI YENYEWE, POLISI WA TANZANIA, USALAMA BARABARANI MNATUMALIZA KWA UTARATIBU WA KITU KIDOGO. HAWA WATU WOTE WALIFIKA DODOMA, ASKARI WA KITUO CHA BAHI WALIKUWA WAPI?
Siku zote ajali ikitokea watu huanza kutafuta nani kasababisha,kinachotakiwa ni kuwaombea tu marehemu pamoja na kuwafariji wafiwa.you should all know that life=to death.so be prepared and keep ua souls clean
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.