Chamecha meku na mkyeku!

kiruavunjo

Senior Member
Mar 30, 2011
154
32
Dogo kaolewa na mama wa miaka 52 dogo ana miaka 21 anasema amempenda kutokana na utajiri alio nao mama huyo na ndo maana akafikiria ugumu wa maisha ya sasa akaona bora niolewe tu, hata kama watu watanidharau na kunibeza hiyo haijalishi nitaolewa tu. Je? Wewe ungependa kumshauri nini dogo? Nini hatma ya maisha yake? Je mama huyu aweza mzalia watoto? Aika mbee aika mkyeku.
 
Kwa mujibu wa wakongwe na wasomi ni kwamba mwanamke anao uwezo wa kuvumilia mambo na kuyapita matatizo kwa kiwango cha kumzidi mwanamume, hivyo inashauriwa mke amzidi mume angalau miaka 5, (si zaidi) hii inatosha kumvusha mumewe atakapopita kwenye dhahama.
 
duh! Amzidi tena? Inajenga taswira gani? Kumzidi mwanamke nijuacho ila kumzidi mwanaume ni kosa kubwa sana
 
ngameshoka kabisaaaaaaa!!!!!! Mkyeku shoo akeri ubungu mpaka lunu(UBUNGI-LIBIDO)
 
Back
Top Bottom