Vmark.
JF-Expert Member
- Aug 2, 2011
- 1,353
- 270
Mtei alitoka BOT lini a Freeman alifanya kazi huko lini? Mbowe kazaliwa mwaka 1961 so wataka kusema aliingia BOT akiwa na miaka mingapi? Na high school alimaliza lini? Wakati anaingia BOT Mtei bado alikua ni gavana? Ooh poor you!!Wenyewe walimu, waandishi na wanajeshi wakisikia unawafananisha na Disc Jockey sijui kama watafurahi!
Huko BOT bila shaka aliingizwa na Mtei kama alivyoingizwa ndani ya Chadema.