Chama pinzani ndilo jina la milele la chadema

Nenda ukaulize kwanza inakuwaje Dr Mwinyi ni waziri wa Afya na mwaka gani mwinyi alitoka kwenye urais.
We are talking about Freeman Mbowe and nat Dr Mwinyi! Stick on the facts if u cant just go and play seek and hide!
 
We are talking about Freeman Mbowe and nat Dr Mwinyi! Stick on the facts if u cant just go and play seek and hide!

Mbona unaji-force kutokukubali kitu ambacho kipo wazi? kuhusu Hussen Mwinyi yeye ana sifa stahili na ni msomi.

Kuhusu Mbowe kiukweli hakustahili kufanya kazi BOT kwa nafasi aliyokuwa nayo. Labda angevaa magwanda alinde bank ndio kidogo ingeeleweka mbele ya jamii kwa kiwango cha elimu alichonacho.
 
Ndugu waheshimiwa wa jf naomba thread za namna hii zisijadiliwe ili kuondoa lengo la wanaojifunza kuleta threads na kuona kama nao watapata page nyingi za kuchangiwa! Manake lengo lake linatimia anapoona mnamjibu ati ( wahenga walonga, kichaa akikuvua nguo unachutama umfukuzi kwani watakaowaona hawataweza kutofautisha!)
 
naona chadema kina wasemaji wengi sana hapa nchini,kila mtu anaisemea chadema.why kila mahali ni chadema chadema tu,hamna issue nyingine za kuzungumzia wadau na watz kwa ujumla? Nadhani kuna mambo ya muhimi ya kuzungumzia kuliko kukaa na kujitafutia umaarufu kwa mgongo wa chadema.watz wanajua kutofautisha mchele na pumba haina haja ya kuwasemea,wao wenyewe ndo wataamua kama chadema kiwe chama cha upinzani milele au ccm ndo kiwe chama cha upinzani. Hizi ni kama kelele za chura ambazo haziwezi kumzuia tembo kunywa maji.
Ni hayo tu.
Humu JF CCM ni chama cha upinzania tayari
 
acha sisi wajinga tumuunge mkono kamanda mbowe nyie wasomi endeleeni na wizi wenu mtakiona 2015 fuatilia ziara za pinda mikoani na maswali anayo ulizwa utapata jibu nafikiri hata rudia kukaribisha maswali asifikiri uhuru wa ccm ndani ya bunge ni sawa na wananchi huku kwetu mashambani

cdm kaza uzi m4c ndio imeanza elimisha wananchi
 
wewew unayefanya kazi ya kumlamba ridhiwani nyeti una kazi gani nzuri kwa taifa?
 
M4C na Machoper ma 4 ni anguko na angamizo kwa ccm waliobaki na kazi ya kuua na kuacha kazi ya siasa ifanywe na CDM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom