Chama/kikundi cha kusaidiana kwenye shida na raha (msiba/sherehe)

Loly

JF-Expert Member
Mar 10, 2011
509
209
Jamani natafuta chama au kikundi cha kusaidiana kwenye matatizo au furaha, nasikia kuna vikundi vya aina hii vingine viko kimakabila vingine sio lazima, kwa wote wanaojua naombeni mnijuze pamoja na masharti na kila kitu.
 
Una kaa mji gani na sehemu gani?? Kwa mfano Dar kitongoji Tabata Kisukuru
 
Hivi vyama ndo vinaongeza umasikini tu, havina chochote cha maana,

- HIVI VYAMA KAMA VINGEKUWA NA MAONA YA MAANA NDO VINGEKUWA CHANZO CHA KUKUSANYA MITAJI NA KUFANYA INVESTMENT ZILIZO ENDA SHULE,

- MARA NYINGI HIVI VYAMA HUWA VINAJIKITA KATIKA SHEREHE KAMA HARUSI, VIPA IMARA NA MISIBA,

- HIVI VYAMA VINAACHA MAMBO YA MISINGI KAMA KUKUSANYA MITAJI NA KUJA NA UWEKEZAJI WA PAMOJA WENYE TIJA.

- HIVI VYMA HUWA NI DISTRICT LEVEL NA HATA KATA, UTAKUTA KUNA UMOJA WA WANA MFANO, SERENGETI, ILA UTAKUTA MAMBO WANAYO FANYA HAWA WATU HAYANA TIJA HATA KIDOGO,

- IMEFIKA WAKATI KWA VYAMA HVI KUWA CHANZO CHA KUKUSANYA MITAJI YA UWEKEZAJI NA VISIJIKITE KWENYE MAHARUSI NA MISIBA TU
 
Clever!
 
Wewe ni mwanamke au mwanaume. Kama ni mwanaume, kuna chama kinaitwa Victoria Group, ni wanaume wanaofanya vitu kama hivyo, pia wanafanya uwekezaji. Sio cha kikabila, wala kikanda au eneo. Ni kizuri sana.

Back
Top Bottom