Mkomamanga
JF-Expert Member
- Dec 9, 2011
- 815
- 189
nimekusoma.ngoja nitafute details zake ndani ya jwtz,then nitarudi
Swala la kuwa registered nazani si lazima coz military wanakuwaga na utaratibu wao tofauti na huu wa raia wa kawaida,ndio maana kwa tz hawapo bounded na ELRA ya 2004 n.k
Wanajeshi nao ni raia kwa hiyo bado chaweza kusajiliwa na AZAKI, maana ya asasi za kiraia ni pale ambapo hazina moja kwa moja uhusiano na mifumo ya utawala ya serikali. Vyama vya namna hiyo vipo katika kada mbalimbali na mbona kuna chama cha wakristo wasomi waliostaafu na pia kipo chama cha wanazuoni waislamu (hayo si shida wala taabu) shida ni pale kitakapoanza kuwa na malengo ya kutaka kuitumia au kuitumikia serikali kwa niaba ya vyama vya dini zao hizo.