Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo - ASSOCIATION OF MILITARY CHRISTIAN FELLOWSHIPS (AMCF)

MpigaKura

JF-Expert Member
Jan 25, 2007
384
101
Amani iwe nanyi JF members & non members:
Naomba kujulishwa jina la kiongozi wa Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo tawi la Tanzania.

Nimejaribu kucheki website yao The Structure of AMCF nikagundua kuwa makao yao makuu yako Kenya na nikaona structure yao kama ifuatavyo:
The President, a retired General of the South Korean Armed Forces, lately Chairman of their Joint Chiefs of Staff
The Vice President for the Pacific, a retired chief chaplain of the New Zealand Armed Forces.
The Vice President for East Asia, a retired Admiral of Republic of China Navy
The Vice President for South East Asia, a retired general from the Philippine Air Force
The Vice President for South Asia, a recently retired General from one the Asian Armed Forces who is now an Ambassador
The Vice President for Francophone Africa, a retired Colonel in the Burkino Faso Army
The Vice President for North East Africa, a serving Brigadier in the Kenyan Army
The Vice President for West Africa, a retired Colonel in the Ghana Army
The Vice President for Southern Africa, a retored Captain in the South African Navy
The VP for Central and Southern Europe, a retired officer in the British Navy
The VP for Northern and Eastern Europe, a serving officer in the Swedish Army
The VP for North America, a retired Lt.Col from Jamaican forces, lately a National Security Adviser for Grenada
The VP for Central America, a retired officer from the Guatemalan Army
The VP for South America, a retired officer from the Peruvian Army
The VP for Middle East, a retired General from the Middle East Region

Natambua kuwa Octoba 15, 1997 wanajeshi Wakristo wapatao 150 walikutana katika hoteli ya Sheraton mjini Kampala, Mada Kuu (Theme) ya mkutano wao ikiwa "Serving to lead _ The Christian in the Armed Forces."
Mkutano huo haukuwa wa siri, kwani ulifunguliwa rasmi na Mhe. Rebecca Kadaga, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda na kutangazwa na vyombo vya habari.
Na kule Uganda wanajeshi wetu Wakristo hawakwenda kama watu binafsi, bali walikwenda kama wanachama wa "Association of Military Christian Fellowships for East and North-East Africa. Kule wakakutana na wanajeshi Wakristo wenzao wa Ghana, Congo (Kinshasa), Ethiopia, Kenya, Rwanda, Eritria na Uganda.

Na pia najua kuwa watafanya conference tarehe 01 -0 4 OCT 2012 pale Australia.

Niko interested sana kumjua kiongozi wao kwa hapa Tanzania, hivyo mwenye data naomba azimwage hapa tafazali.

Thanks & waiting to hear from JF.
 
Duh!

Kwa hiyo udini hadi jeshini kazi kwelikweli

Hawa wanajeshi watakuwa wanahubiri au watakuwa wanaeneza dini kwa kutumia bunduki wakiwa vita??
 
Kwa hali hii ya udini mpaka Jeshini! Dalili zinaonyesha wazi kuwa ipo siku tutakuja kugawana hii Dunia.
 
yaani hilo umeliona jeshini tu, mbona kila sehemu kuna jumuia, nenda vyuo vikuu, utaona vya kila aina, samahani kimoja tu sijakutana nacho chenye jina la jumuia ya wapagani ingawa wapo ila inawezekana wanatumia majina nisiyoyajua naomba kujuzwa na wanaojua, kumbuka nimesema kwa wanaojua
 
Natambua kuwa Octoba 15, 1997 wanajeshi Wakristo wapatao 150 walikutana katika hoteli ya Sheraton mjini Kampala, Mada Kuu (Theme) ya mkutano wao ikiwa "Serving to lead _ The Christian in the Armed Forces."
Mkutano huo haukuwa wa siri, kwani ulifunguliwa rasmi na Mhe. Rebecca Kadaga, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda na kutangazwa na vyombo vya habari.
Na kule Uganda wanajeshi wetu Wakristo hawakwenda kama watu binafsi, bali walikwenda kama wanachama wa "Association of Military Christian Fellowships for East and North-East Africa. Kule wakakutana na wanajeshi Wakristo wenzao wa Ghana, Congo (Kinshasa), Ethiopia, Kenya, Rwanda, Eritria na Uganda.

Na pia najua kuwa watafanya conference tarehe 01 -0 4 OCT 2012 pale Australia.

Niko interested sana kumjua kiongozi wao kwa hapa Tanzania, hivyo mwenye data naomba azimwage hapa tafazali.

Thanks & waiting to hear from JF.

kwa namna hii, ukiwaambia baadhi ya watu, serikali haina dini, inabidi uwape rushwa ili wakuamini.
 
Natambua kuwa Octoba 15, 1997 wanajeshi Wakristo wapatao 150 walikutana katika hoteli ya Sheraton mjini Kampala, Mada Kuu (Theme) ya mkutano wao ikiwa "Serving to lead _ The Christian in the Armed Forces."
Mkutano huo haukuwa wa siri, kwani ulifunguliwa rasmi na Mhe. Rebecca Kadaga, ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Uganda na kutangazwa na vyombo vya habari.
Na kule Uganda wanajeshi wetu Wakristo hawakwenda kama watu binafsi, bali walikwenda kama wanachama wa "Association of Military Christian Fellowships for East and North-East Africa. Kule wakakutana na wanajeshi Wakristo wenzao wa Ghana, Congo (Kinshasa), Ethiopia, Kenya, Rwanda, Eritria na Uganda.
Hivi una kumbukumbu hao wanajeshi walikwenda kwa kodi ipi na walitumia gharama gani kukaa hoteli hiyo ya kifakhari pale Kampala?.
 
Duh!

Kwa hiyo udini hadi jeshini kazi kwelikweli

Hawa wanajeshi watakuwa wanahubiri au watakuwa wanaeneza dini kwa kutumia bunduki wakiwa vita??

Acha upuuzi, si bora hawa wanaohubiri amani kuliko Al shabab
 
Here we go;
Kwahiyo hiki Chama cha Wanajeshi wa Kikiristo kiko registered hapa Tanzania?

Na kama kiko registered ni katika mfumo upi?

Maana siamini kama ni katika AZAKI (Asasi za kiraia)/NGO.

Na sisitiza kuwa siamini kwa kigezo kuwa hiki kikundi si cha kiraia/ni cha kijeshi.

Namaanisha ni kikundi cha wanajeshi(sio raia) wa kikristo.

Naombeni mnijuze wana JF.
 
hawa hawakuhitaji na hawahitaji support ya serikali-wapo wao kama wao

hebu kigeuze hicho chama kisomeke hivi "chama cha wanajeshi waislamu". Ndani ya jwtz- then uangalie reaction ya umma itakuwaje?. Mjomba mambo mengine hata umpake nguruwe lipstick ataendelea kuwa nguruwe tu.
 
wakifanya hivyo hawataweza kuipindua nchi mi nimeipenda hiyo. Nitarudi baadae
 
hebu kigeuze hicho chama kisomeke hivi "chama cha wanajeshi waislamu". Ndani ya jwtz- then uangalie reaction ya umma itakuwaje?. Mjomba mambo mengine hata umpake nguruwe lipstick ataendelea kuwa nguruwe tu.

nimekusoma.ngoja nitafute details zake ndani ya jwtz,then nitarudi

Ok then dont u think kama hawajawa registered then watakuwa wanaoperate kinyume cha sheria?

Maana kila association lazima iwe registered..

Swala la kuwa registered nazani si lazima coz military wanakuwaga na utaratibu wao tofauti na huu wa raia wa kawaida,ndio maana kwa tz hawapo bounded na ELRA ya 2004 n.k
 
Swala la kuwa registered nazani si lazima coz military wanakuwaga na utaratibu wao tofauti na huu wa raia wa kawaida,ndio maana kwa tz hawapo bounded na ELRA ya 2004 n.k

Nimejaribu kupekua sana lakini sijakuta exemption yoyote kwa upande wa association registration kwa wanajeshi.

Kama wewe umesoma pahala then update me.
 
Back
Top Bottom