Uchaguzi 2020 Chama cha Labour Tanzania (TLP) chamuunga mkono Rais Magufuli, wasema "Hatuna makubaliano yoyote na CCM, Kiherehere hiki ni Uzalendo tu"

Vugu-Vugu

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
1,109
1,265
" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA (TLP) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "

Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party (TLP) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya Katiba ya Chama chetu Toleo la 2009 tumeamua kwa sauti moja kumuunga mkono mgombea wa chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Dk John Joseph Pombe Magufuli katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25/10/2020 bila ahadi wala makubaliano yeyote baina yetu zaidi ya Uzalendo kwa Taifa letu la Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu, Ifamike kuwa, azimio hili la kumuunga mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli lilifikiwa baada ya kutafiti,kudadisi na kujiridhisha pasina shaka yeyote juu ya kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuwa zinavunja rekodi zilizowekwa tangu enzi za mkoloni,zinaacha alama kwa kizazi hiki na kizazi kijacho,zinalipeleka Taifa kwa kasi kwenye Uchumi wa kati,zinadumisha Amani,Upendo na Mshikamamo wa Taifa letu na huu ndio ulikuwa mwanzao wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha tarehe 04/05/2019 pamoja na maazimio mengine kikao kiliazimia kila mjumbe/mwanachama apitie nukta kwa nukta kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye ardhi ya Taifa hili la Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu, Baada ya mwaka mmoja kupita, Kamati Kuu ya Chama na Halmashauri Kuu ya Chama ziliketi tena tarehe 08/05/2020 Jijini Dar es salaam huku Agenda namba moja ikiwa ni “ Tathimini ya Kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli “ 98% ya wajumbe kwenye Kamati Kuu na 100% kwenye Halmashauri Kuu walitoa pendekezo la TLP kutoweka mgombea wa Urais bara na badala yake chama kimuunge Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mh Dk John Pombe Joseph Magufuli,

Ndugu Watanzania wenzetu,Chombo cha juu kabisa cha maamuzi ya chama chetu cha TLP ni “ Mkutano Mkuu wa TLP Taifa ” ambao uliketi tarehe 09/05/2020 hapahapa Jijini Dar es salaam,Pamoja na wageni mbalimbali toka vyama rafiki alikuwepo pia Mhe Ndg Humphrey Polepole toka chama Tawala ambae ni “Katibu wa Itikadi na Uenezi ” wa chama hicho aliyehudhuria kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Mhe Dk Bashiru Ally Kakurwa na kwa umuhimu sana alihudhuria pia Naibu Msajili wa vyama vya Siasa nchini Mhe Systus Nyahoza,

Ndugu Watanzania wenzetu,Baada ya taarifa hiyo,Mnafahamu miongoni mwa malengo ya chama chochote cha Siasa ikiwemo Labour Party ni Kushika dola,Ishara ya chama kutaka kushika dola/serikali ni kuwa na Mgombea wa nafasi ya Urais wa JMT au SMZ,Sisi Labour Party chini ya M/kiti wetu mzalendo wa maneno na matendo Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Dk Augustino Lyatonga Mrema tumekubaliana kwa sauti kuu “ Tutamuunga mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oct 2020 kwa hali na mali kama ishara ya Uzalendo wetu kwa Taifa letu kwa manufaa yetu sasa na manufaa ya watoto wa watoto wetu “

Ndugu Watanzania wenzetu,Ifahamike kuwa mpaka tarehe 09/05/2020 (siku ya mkutano mkuu) tayari tulishapokea nia za wanachama wawili ( 2 ) waliotaka kumkabili vikali Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye Uchaguzi mkuu wa Oct 2020 lakini Chama kupitia vikao vyake kimewashauri na wao kwa Uzalendo wao kwa nchi yao wamekubali kwa moyo safi kumuunga mkono na kumwachia Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli aendelee kwani yuko katika uelekeo wa “Kweli na Sahihi” kwa Taifa letu hili lililodumu na umasikini kwa muda mrefu tena bila sababu,

Ndugu Watanzania wenzetu,kwakuzingatia Imani ya nne ( 4 ) ya Labour Party inayosema “ Kazi ni Msingi wa Demokrasia “ na kwakuzingatia kazi kubwa na nzuri anazofanya Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli Sisi Labour party tunazitambua na kuzithamini kazi hizi kwa vitendo kwa kutoa chama chetu pendwa cha TLP ( bara ) kama ishara ya Uzalendo wetu kwa nchi yetu ili kitumike kama nyezo ya kusaidia na kurahisisha ushindi wa Kishindo wa Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee aidha chama chetu kitasimamisha wagombea wenye sifa madhubuti kwenye majimbo yote 264 na kata zote 3,956 wakati Zanzibar Mhe Hussuin Juma tayari ameshatangaza kugombea Urais wa SMZ kupitia chama chetu hiki pendwa cha Labour Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu,Chama Chenu Cha TLP kwa unyenyekevu mkubwa kinawakaribisha wale wote wenyenia ya kumsaidia Mh Rais kwa kumnadi kwa Wananchi kupitia jukwaa la “ Ugombea ” kwenye nafasi ya Ubunge wa JMT na Udiwani ili mwisho wa siku ninyi na yeye kila mmoja atimize ndoto yake na wote kwa Umoja na Uzalendo wenu mkalijenge Taifa letu kwa kumsaidia Rais ajae Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kupitia Bunge la 12 kama Wabunge wa JMT na Halmashauri zenu kama madiwani, Sisi TLP tunaamini kama Mgombea wetu wa Urais Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli atanadiwa na Wagombea wawili ( 2 ) katika kila Jimbo/Kata za JMT yaani yule toka chama chake cha CCM na wapili toka chama chetu cha TLP hakika ushindi atakaoupata utatikisa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na hii ni kuionesha Dunia Uzalendo wetu katika kumpigania Mzalendo wetu wa kweli Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli Kabla,Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25/10/2020,

TLP-Uhai Wa Mtanzania🇹🇿
 
" TAMKO RASMI LA CHAMA CHA LABOUR TANZANIA ( TLP ) KUMUUNGA MKONO MHE DK JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI KUELEKEA OCT 2020 "

Ndugu Watanzania wenzetu, Sisi wanachama,wafuasi na wapenzi wa chama cha Tanzania Labour Party ( TLP ) kwa kauli moja ya kizalendo kwa nchi yetu na kwa kuzingatia Ibara ya 29.0 ya Katiba ya Chama chetu Toleo la 2009 tumeamua kwa sauti moja kumuunga mkono mgombea wa chama cha Mapinduzi ( CCM ) Mhe Dk John Joseph Pombe Magufuli katika uchaguzi mkuu utakaofanyika tarehe 25/10/2020 bila ahadi wala makubaliano yeyote baina yetu zaidi ya Uzalendo kwa Taifa letu la Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu, Ifamike kuwa,azimio hili la kumuunga mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli lilifikiwa baada ya kutafiti,kudadisi na kujiridhisha pasina shaka yeyote juu ya kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuwa zinavunja rekodi zilizowekwa tangu enzi za mkoloni,zinaacha alama kwa kizazi hiki na kizazi kijacho,zinalipeleka Taifa kwa kasi kwenye Uchumi wa kati,zinadumisha Amani,Upendo na Mshikamamo wa Taifa letu na huu ndio ulikuwa mwanzao wa kikao cha Halmashauri Kuu ya Chama cha tarehe 04/05/2019 pamoja na maazimio mengine kikao kiliazimia kila mjumbe/mwanachama apitie nukta kwa nukta kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye ardhi ya Taifa hili la Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu,Baada ya mwaka mmoja kupita,Kamati Kuu ya Chama na Halmashauri Kuu ya Chama ziliketi tena tarehe 08/05/2020 Jijini Dar es salaam huku Agenda namba moja ikiwa ni “ Tathimini ya Kazi zinazofanywa na Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli “ 98% ya wajumbe kwenye Kamati Kuu na 100% kwenye Halmashauri Kuu walitoa pendekezo la TLP kutoweka mgombea wa Urais bara na badala yake chama kimuunge Mkono Mgombea wa Chama cha Mapinduzi ( CCM) Mh Dk John Pombe Joseph Magufuli,

Ndugu Watanzania wenzetu,Chombo cha juu kabisa cha maamuzi ya chama chetu cha TLP ni “ Mkutano Mkuu wa TLP Taifa ” ambao uliketi tarehe 09/05/2020 hapahapa Jijini Dar es salaam,Pamoja na wageni mbalimbali toka vyama rafiki alikuwepo pia Mhe Ndg Humphrey Polepole toka chama Tawala ambae ni “Katibu wa Itikadi na Uenezi ” wa chama hicho aliyehudhuria kwa niaba ya Katibu Mkuu wa CCM Mhe Dk Bashiru Ally Kakurwa na kwa umuhimu sana alihudhuria pia Naibu Msajili wa vyama vya Siasa nchini Mhe Systus Nyahoza,

Ndugu Watanzania wenzetu,Baada ya taarifa hiyo,Mnafahamu miongoni mwa malengo ya chama chochote cha Siasa ikiwemo Labour Party ni Kushika dola,Ishara ya chama kutaka kushika dola/serikali ni kuwa na Mgombea wa nafasi ya Urais wa JMT au SMZ,Sisi Labour Party chini ya M/kiti wetu mzalendo wa maneno na matendo Naibu Waziri Mkuu Mstaafu Mhe Dk Augustino Lyatonga Mrema tumekubaliana kwa sauti kuu “ Tutamuunga mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Uchaguzi mkuu wa Oct 2020 kwa hali na mali kama ishara ya Uzalendo wetu kwa Taifa letu kwa manufaa yetu sasa na manufaa ya watoto wa watoto wetu “
Ndugu Watanzania wenzetu,Ifahamike kuwa mpaka tarehe 09/05/2020 (siku ya mkutano mkuu) tayari tulishapokea nia za wanachama wawili ( 2 ) waliotaka kumkabili vikali Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye Uchaguzi mkuu wa Oct 2020 lakini Chama kupitia vikao vyake kimewashauri na wao kwa Uzalendo wao kwa nchi yao wamekubali kwa moyo safi kumuunga mkono na kumwachia Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli aendelee kwani yuko katika uelekeo wa “Kweli na Sahihi” kwa Taifa letu hili lililodumu na umasikini kwa muda mrefu tena bila sababu,

Ndugu Watanzania wenzetu,kwakuzingatia Imani ya nne ( 4 ) ya Labour Party inayosema “ Kazi ni Msingi wa Demokrasia “ na kwakuzingatia kazi kubwa na nzuri anazofanya Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli Sisi Labour party tunazitambua na kuzithamini kazi hizi kwa vitendo kwa kutoa chama chetu pendwa cha TLP ( bara ) kama ishara ya Uzalendo wetu kwa nchi yetu ili kitumike kama nyezo ya kusaidia na kurahisisha ushindi wa Kishindo wa Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kwenye nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pekee aidha chama chetu kitasimamisha wagombea wenye sifa madhubuti kwenye majimbo yote 264 na kata zote 3,956 wakati Zanzibar Mhe Hussuin Juma tayari ameshatangaza kugombea Urais wa SMZ kupitia chama chetu hiki pendwa cha Labour Tanzania,

Ndugu Watanzania wenzetu,Chama Chenu Cha TLP kwa unyenyekevu mkubwa kinawakaribisha wale wote wenyenia ya kumsaidia Mh Rais kwa kumnadi kwa Wananchi kupitia jukwaa la “ Ugombea ” kwenye nafasi ya Ubunge wa JMT na Udiwani ili mwisho wa siku ninyi na yeye kila mmoja atimize ndoto yake na wote kwa Umoja na Uzalendo wenu mkalijenge Taifa letu kwa kumsaidia Rais ajae Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kupitia Bunge la 12 kama Wabunge wa JMT na Halmashauri zenu kama madiwani,Sisi TLP tunaamini kama Mgombea wetu wa Urais Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli atanadiwa na Wagombea wawili ( 2 ) katika kila Jimbo/Kata za JMT yaani yule toka chama chake cha CCM na wapili toka chama chetu cha TLP hakika ushindi atakaoupata utatikisa ndani na nje ya mipaka ya Tanzania na hii ni kuionesha Dunia Uzalendo wetu katika kumpigania Mzalendo wetu wa kweli Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli Kabla,Wakati na Baada ya Uchaguzi Mkuu wa tarehe 25/10/2020,

TLP-Uhai Wa Mtanzania🇹🇿
Kwanini wote kwa Umoja wao wasiipunguzie serikali gharama za kuwekwa kwenye orodha ya vyama vya siasa Tanzania kwa kujiunga na CCM na TLP ifutike katika rejista ya msajili? VUGU-VUGU
 
TLP-Uhai Wa Mtanzania
Mrema family bhana ni shida tupu ni full vichekesho
 
Wachagga na pesa ni kama matahira fulani.

Mbatia na Mrema wanatia sana AIBU kwa vijicheo+vijisenti vya kutupiwa kama makombo chini ya meza

Vyama vyote ni vya wachaga. CDM cha Mtei na mkwe wake Mbowe. Nccr cha Mbatia. TLP cha Mrema.
Wote wachumia tumbo tuu hao.
 
Back
Top Bottom