Chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona sherehe haijakamilika?

Black Opal

Senior Member
Jan 22, 2023
199
253
Wana maakuli kwema?

pilau.jpg

Moja kwa moja kwenye mada, mazee kila mtu ana msosi anaopenda ambao akiukuta kwenye sherehe mambo yanakuwa byee. Nikianza na mimi, bwana sherehe bila pilau nyama na kachumbari naona kama siku kawaida, ukolezo hapo kwenye pilau nyama, sio pilau kuku au mboga nyingine yoyote!

Nisipokutana na huu msosi kwenye sherehe naona kama wamekosea siku😅😅😅... halafu utamu unaongezeka zaidi ukiliwa wengi kwenye sinia, acha kabisa mpaka mate yameanza kujaa mdomoni😂😂.

Kwenye wazee wa maakuli, chakula gani usipokikuta kwenye sherehe unaona mambo hayajakaa sawa na sherehe haijakamilika?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom