Chakula cha msaada chachakachuliwa huko Musoma

VIKWAZO

JF-Expert Member
Apr 9, 2011
1,899
580
[video]http://youtu.be/Xep2W2hjHnw[/video]


Tani 50 za chakula cha msaada kutoka serikalini zimechukuliwa na viongozi badala ya kuwagawia watu wasio na uwezo kama ilivyopangwa na serikali,
hii ni kesi ya kawaida sana katika nchi yetu, ikumbukwe kwamba Tsh 48bilioni za stimulate package watu wamezitia mfukoni na mpaka sasa haijulikani kipi ni kipi?

kwa nini watendaji wa serikali wanashiriki kwenye wezi wa waziwazi kama huu?
ni lini serikali itakuwa na mfumo wa kisasa kudhibiti walengwa kudhurumiwa?

mbona katika hii serikali ya nne watendaji wake wote kuanzia nchi mpaka juu wanachota mali za umma bila uoga?
kwa nini watu wanauoga wa kujibinafsishia mali na huduma za umma?

source: habari channel TEN
 
Hutakiwi kushangaa, labda sana sana ushangae kwamba mpaka mtendaji wa mtaa naye ashajua bila woga kumega kubwa ka wakubwa!
 
Mh jaman kunasiku serikali itabadilika kweli au wananch 2melogwa na nin had 2nasita kuingia mitaan kudai mabadiliko
 
Back
Top Bottom