Chacha wa Mwita
Senior Member
- May 17, 2008
- 167
- 34
Kuna habari kwenye gazeti la mtanzania ukurasa wa tatu kuhusu kufungiwa kwa vituo vya mafuta vinavyo milikiwa na mbunge wetu wa Musoma mjini, kwa sababu ya uchakachuaji! Hii inamaanisha nini endapo mradi huu unamilikiwa na mtunga sheria/mwakilishi wetu??