Chai yenye tangawizi nyingi ya kusagwa ni noma wakuu

Ukitaka upate energy ya ajabu kbs,

Kunywa mchanganyiko wa tangawizi Kali na mchaichai uliokolea Sana (ile pure green)

afu shushia na magimbi ya kuchemsha
Kwanzia leo marufuku kutumia chai za kawaida

By the way VIP mam j sijaona kissa chake muda sana
 
Ni kawaida sana hiyo,

Suluhisho ni toa huo kama usaha ili kibaki kidonda tu afu kaa kama wiki hivi bila kutomba au adi kipone kabisa mana unavozd kutomba ndo unafanya kinachubuka tena na kuwa kibichi kwahy hakitapona

Pia muda mwingne chanzo huwa ni kugegeda mda mrefu uke ukiwa mkavu kwahy hakikisha mwanamke asiwe mkavu
Huu ushauri umenisaidia mze,na umeongea mulemule
 
Huu Uzi ikisoma heading unaweza puuza ila ukija kwenye comments, unapata madini makubwa sana. Leo nimepata madini hapa balaa. Wajumbe Kwa ujumla niwashukuru.
 
Ndiyo inatakiwa hiyo sasa...alafu ili ikolee poa, vunja vunja vipande kisha twanga twanga kwa pa1 na punje za v.saumu hadi viwe laini... alafu chemsha mchanganyiko huo na machai chai...

Kunywa kila siku asubuhi (ukiamka kabla hujala chochote) na jioni (kabla ya kwenda kulala)....

Libido lazima ipande juu kwafujo ikiambatana na pumzi ya kutosha tu wakati wa tendo la ndoa...
mzee vp ile harufu ya vitunguu saumu??

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
 
mzee vp ile harufu ya vitunguu saumu??

Sent from my SHV45 using JamiiForums mobile app
Menya punje moja au mbili za kitunguu saumu kisha meza kama umezavyo vindonge. Fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni.

Wakati huo hakikisha unakunywa mchanganyiko wa tangawizi na mchaichai kwa wingi , inafaa zaidi ukiweka asali badala ya sukari. Hapo Mzee wa pori akisimama waweza dhani anapasuka....manaake dude linatuna halafu linakuwa ngangari imara kama kisiki na mishipa iliyojaa ikaenea vilivyo.

Ukikutanisha na CHIU uliolowana vilivyo yeleuuuuuw! Friction na joto linalozalishwa hapo ni jamii ya zile pigo za mwanaukome
 
Pia kirutubisho kingine chukua kitunguu maji kiponde halafu kamulia na limao changanya na kijiko kimoja cha kahawa weka na maji ya moto kama glass moja kaa kwa nusu saa kisha weka na kijiko ch asali
 
Hii chai imefanya niwe na nyege sana, hii chai imefanya niwe nachelewa kazini, hii chai imefanya niwe namnyandua wife kwenye kila kaupenyo kakijitokeza Sebuleni, jikoni hata nje hasa kwenye meza ya siting room,

Nimejikuta napiga hadi bao tatu wakati kwa wife ilikua ni bao moja tu ila now mambo yamebadirika sana .

Nilijikuta nipo hivi baada ya kuacha kutumia majani ya chai ndipo nikapewa mbadala kuwa asubuhi ninywe maji ya moto yenye mchaichai na tangawizi ...ila mchaichai nikakosa na kununua tangawizi ilio sagwa.

So natumia maji ya moto tangawizi na sukari baada ya hayo matumizi ya kama wiki hivi ndio nimekuja kujikuta nina hayo mabadiriko.

Kwa nyie wazee wa vitu vya kongo embu iwekeni tangawizi kwenye diet menu yenu.

#Maendeleo hayana chama
ongezea na mdalasini ule wenyewe.....usiosagwa....... chemsha kwa dawa ya kienyeji,basi we jinywee tu.... balaa lake congo cha mtoto
 
Menya punje moja au mbili za kitunguu saumu kisha meza kama umezavyo vindonge. Fanya hivyo kila siku asubuhi na jioni.

Wakati huo hakikisha unakunywa mchanganyiko wa tangawizi na mchaichai kwa wingi , inafaa zaidi ukiweka asali badala ya sukari. Hapo Mzee wa pori akisimama waweza dhani anapasuka....manaake dude linatuna halafu linakuwa ngangari imara kama kisiki na mishipa iliyojaa ikaenea vilivyo.

Ukikutanisha na CHIU uliolowana vilivyo yeleuuuuuw! Friction na joto linalozalishwa hapo ni jamii ya zile pigo za mwanaukome
hii nimeichukua pweintiii
 
Mwanangu mi nina kidonda kwenye shina la mboo,kilianza kama kipele..lakini hakiumi sana ila kama kinakuwa na usaha hv,sasa nat*omba kila siku nakichubua...hii ni dalili ya nini
 
Attachments

  • Screenshot_20230706-173214.png
    Screenshot_20230706-173214.png
    87.5 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230706-173233.png
    Screenshot_20230706-173233.png
    84.1 KB · Views: 16
  • Screenshot_20230706-173247.png
    Screenshot_20230706-173247.png
    92 KB · Views: 16
Hii chai imefanya niwe na nyege sana, hii chai imefanya niwe nachelewa kazini, hii chai imefanya niwe namnyandua wife kwenye kila kaupenyo kakijitokeza Sebuleni, jikoni hata nje hasa kwenye meza ya siting room,

Nimejikuta napiga hadi bao tatu wakati kwa wife ilikua ni bao moja tu ila now mambo yamebadirika sana .

Nilijikuta nipo hivi baada ya kuacha kutumia majani ya chai ndipo nikapewa mbadala kuwa asubuhi ninywe maji ya moto yenye mchaichai na tangawizi ...ila mchaichai nikakosa na kununua tangawizi ilio sagwa.

So natumia maji ya moto tangawizi na sukari baada ya hayo matumizi ya kama wiki hivi ndio nimekuja kujikuta nina hayo mabadiriko.

Kwa nyie wazee wa vitu vya kongo embu iwekeni tangawizi kwenye diet menu yenu.

#Maendeleo hayana chama
Tumia asali acha sukari
Ina faida zaidi
 
Back
Top Bottom