Numbisa JF-Expert Member Dec 12, 2016 268,273 1,096,028 Mar 22, 2024 #3 Yebo yebo siku hizi zinaitwa clog aiseee
ngara23 JF-Expert Member Aug 31, 2019 2,393 5,241 Mar 23, 2024 #5 Sasa mtu timamu atavaa hayo madude Labda kuendea msalani Sent using Jamii Forums mobile app
Mr Pixel3a JF-Expert Member Sep 15, 2021 5,054 7,265 Mar 23, 2024 #6 Wanaovaa mavitu haya Mjini nawaona Vichaa kwa kweli🤧
whitemoney JF-Expert Member Nov 9, 2023 653 1,390 Mar 23, 2024 #7 Mr Pixel3a said: Wanaovaa mavitu haya Mjini nawaona Vichaa kwa kweli🤧 Click to expand... wao wanajionaga wajanja na wameyapatia maisha kwelikweli
Mr Pixel3a said: Wanaovaa mavitu haya Mjini nawaona Vichaa kwa kweli🤧 Click to expand... wao wanajionaga wajanja na wameyapatia maisha kwelikweli
Saguda47 JF-Expert Member May 1, 2016 10,771 18,639 Mar 26, 2024 #8 Hayo madude Sina mpango nayo hata Bure 😂😂😂