Lucas
JF-Expert Member
- Dec 3, 2011
- 2,457
- 1,108
Mkuu huu wimbo umeimbwa na nani?
Hebu nipe lyrics zake, manake kweli niko bize sana saa hii nasaka "Mke mwema"
hiyo by Mwaitege... kijana nakuombea upate mke mwema....
Mkuu huu wimbo umeimbwa na nani?
Hebu nipe lyrics zake, manake kweli niko bize sana saa hii nasaka "Mke mwema"
The secretary umenichekesha sana. dah cku nyng cjasikia nyimbo za makhirikhiri. . . huwa napenda wanavoenzi utamaduni wao!
mama nipe nauli nimfuate monica, amekimbia zambia na treni ya mizingo... monica ooo monica uko wapi
Wa MAKILIKILI umfikie kongosho kokote alipo
wewe nakudediketi wimbo mmoja uliimbwa zamani " naruka majivu nakanyaga moto.... maama" nimesahau waimbaji!!Pamoja sana. (source: AshaDii)
:hug:
wewe nitaakudediketi wimbo wowote wa harusi....
Mke Mwema... nadediketi kwa TANMO
na AVSEQ04.DAT - YouTube nadediketi kwa Kongosho, Erickb52, BAGAH na ka- charminglady
while Bonny Mwaitege - Mama ni Mama - YouTube kwa Mamdenyi
na Cantalisia Bony Mwaitege - Njoo Uombewe - YouTube
Dah kijana nimekusoma kabisa!
Hinde Monii wa Kanda Bongo Man ukufikie kokote ulikomm naomba mtu anidediketia kawimbo jamani...nina mawazo utadhani mm ndo naizungusha dunia...
Hahahaaa aiseesiku moja utafanikiwa tu kaka.... labda utakuwa mod....lol
wewe nakudediketi wimbo mmoja wa zamani, sikumbuki nani aliimba ila ulikuwa na lyrics kama ifuatavyo:
wewe nakudediketi wimbo mmoja wa zamani, sikumbuki nani aliimba ila ulikuwa na lyrics kama ifuatavyo:
Hahahaaa aisee
lean on me by Bill Withers kwa wooooooote
Hahahaaa aiseesiku moja utafanikiwa tu kaka.... labda utakuwa mod....lol
Hahahaaa aisee
Teh nipe tu ntakujakama huamini nitakudediketi njoo ufanyiwe maombi