CHADEMA yazoa zaidi ya 1,000 Morogoro

omr pole ndugu yangu, wliopatikana iringa,mbeya,njombe,ruvuma na rukwa ni 1000 mbona mambo mengine ni marahisi kuelewa, tatizo la ccm kutumia watu wenye uwezo mdogo wa kufikiri na kupembua mambo. theme is all about morogoro kama unafikiri vizuri hakuna elfu moja bila moja, that is good start. kama ni rahisi unavyofikiri kwa nini kungunge hakuwapata hata watu wa kimsikiliza tu.
 
Kila sehemu kunawaka moto wa chini chini maana kila vyuo kuna uimara wa CHADEMA.. Mungu saidia CHADEMA na pia imarisha maarifa zaidi
 
mtashika nchi na hao wanachama 1000. huu ni upuzii mtupu. sasa jumla ya wanachama ni wangapi?

hayakuhusu kwani hata ukijua tupo wangapi utafanya nini?mmefulia.ukitaka kujua idadi njoo kwenye mikutano yetu.
 
jana jumapili kingunge alienda mzumbe hali aliyokutana nayo hakuamini kwani alilazimika kuahirisha mkutano baada ya kukosa watu. amewalaumu sana wakufunzi mzumbe.

Babu naye alikwenda kufanya nini huko, hadithi sinasimuliwa chekechea, amesahau kazi za mababu.:A S 103:
 
mtashika nchi na hao wanachama 1000. huu ni upuzii mtupu. sasa jumla ya wanachama ni wangapi?

kwani utafikaje wanachama milioni 5 bila ya kupata 1000? we subiri fisadi, the best for CDM are not yet to come! Mwisho wenu wa kuchakachua ni 2015 tukiwa na katiba mpya
 
wewe mangi..hujamsikia nape kua hayupo CDM kwa kuwa ni cha wachaga???sasa una fanya nini magambani huko....??au unajipendekeza..

Mimi na akili zangu! Nivae kijani na njano? This must be a joke brother!
 
Yani wewe kiazi mbatata kwelikweli.....Mawazo yako na kiwango chako cha kufikiri kama cha Mwenyekiti Wako Jakaya Mrisho KIWETE, na ndiguyo Napunyeto Naunye. Report ni wanachama wapya 1000 mzumbe. Hajasema sehemu nyingine. Chukua 1000 times idadi ya vitongoji Tanzania Utapata wanachama wangapi? The jump to the conclusion na facts zenye mashiko. Sio Kubwabwaja tu hapa.
mtashika nchi na hao wanachama 1000. huu ni upuzii mtupu. sasa jumla ya wanachama ni wangapi?
 
tena tambuwa kuwa ktk vyuo ambavyo ccm ilijimalisha ni Mzumbe,kwani nimemaliza SUA nilikuwa na juwa A to Z zao,wakimbiza mwenge wote wapo pale Mzumbe,vyuo ambavyo ccm ilikuwa haivigusi ni SUA -CDM na chuo cha waislamu CAF na hivi vyuo viwili nilivyo vitaja mwaka 2009 havikua na uongozi wa serikali ya wanafunzi baada ya washindi ambao walitoka CAF na CDM kushinda ushindi wao ulipingwa mahakamani na kwa pale CHUO CHA WAISLAMU ilipelekea hata mwalimu wao maalufu wa lugha ya kiswahili kunyimwa mkataba baada ya kushabikia CUF
Kwa hiyo kupata wanachama 1000 ktk ngome ya ccm ni jambo jema kwao


Ulitamani kutuma ujumbe gani? Ninachofikiri mimi wewe unaongea kwaniaba yako mwenyewe na kama unafikiri mzumbe ni wazembe basi wewe ulitakiwa ujue kwamba ni klinara kuliko wao na pia kwamba sua kuna watu wanajua wanachokifanya kuliko wewe
 
Back
Top Bottom