CHADEMA yazidi kuporomoka kwa kasi kubwa

Naipendatz

JF-Expert Member
Jul 27, 2011
5,079
8,219
Hii ndio idadi ya watu waliohudhuria katika tukio la kutangaza nia kwa Ndg. Daniel Lumenyela wa CDM, anayetangaza nia ya kugombea ubunge wa jimbo la Kigoma mjini kupitia chama hicho ambacho hapo zamani kilikuwa kinakusanya watu lukuki kwenye mikutano yake.

Kwa kweli hiki chama kwa sasa kinadondoka kwa kasi kubwa sana, hata mahudhurio ya watu kwenye mikutano yake yamekuwa ni duni na hafifu.
 

Attachments

  • FB_20150621_13_59_44_Saved_Picture[1].jpg
    FB_20150621_13_59_44_Saved_Picture[1].jpg
    48.2 KB · Views: 2,651
Halafu unaweza kukuta wametumia 7m kuhamasisha Bodaboda na watu ili wahudhurie huo mikutano
 
Naipendatz

...... Wewe ni zuzu kweli kweli.
Picha yenyewe inajieleza kuwa hapo ni ofisi za chama mtia nia anachukua fomu na hao waliomsindikiza ni wale wanachama wanaomuunga mkono.

.... Hapo bado ni hatua za awali kila mtia nia anakuwa na wapambe wake. Siku chama kikiteua mgombea rasmi ndipo utaona wanachama watarudi kuwa kitu kimoja.


.... Siku nyingine unapokuwa unaleta mada usiwe unatumia masabuli kufikiri.
 
Last edited by a moderator:
Tuhamie kwenye thread ya mikutano ya zitto Tunduma na Mbaya huko ndo kutamu watu wamepigika kinomanoma
 
Huu siyo mkutano wa hadhara ni mtia nia anaenda kuchukua fomu. Mbona Jaji Ramadhani kaenda na familia yake tu na huyu anataka kuwa rais...uchache wa waliomsindikiza kuchukua fomu ni ishara ya kuzorota kwa chama anachotaka kuwakilisha? Tendaki kwa haki kwa unalotaka kuliwakilisha katika jukwaa hili
 
Back
Top Bottom