J jack chance Member Jul 2, 2009 17 0 Nov 1, 2010 #1 Hatimaye tbc imetangaza meatu imekwenda chadema kwa kura 13,200
Enny JF-Expert Member May 26, 2009 962 130 Nov 1, 2010 #3 Asante kwa taarifa maana wengine tupo mbali tunasubiri list ya wanachadema walioibuka kidedea kwenye majimbo
Asante kwa taarifa maana wengine tupo mbali tunasubiri list ya wanachadema walioibuka kidedea kwenye majimbo
Bado Niponipo JF-Expert Member Aug 15, 2008 680 168 Nov 1, 2010 #5 paulss said: Sahihisho mkuu, CCM wamenyakua kwa tofauti ya kura kama elfu na upuuzi Click to expand... Acha bangi, NEC wametangaza Chadema kidedea....
paulss said: Sahihisho mkuu, CCM wamenyakua kwa tofauti ya kura kama elfu na upuuzi Click to expand... Acha bangi, NEC wametangaza Chadema kidedea....