CHADEMA yasambaratika mkoani Kigoma

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na CHADEMA imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani Kigoma.

Sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao Zitto Kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani Kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA Mwaka 2010 Ally Mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa.

Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.
 
Kutokana na mvutano
unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema
imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma,
sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya
chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa
mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally
mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani
hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.

wacha wasambaratike tu kwani hawana faida katika nchi hii
 
kwani zito siwalisema kwa bab ni mchaga inakuwaje tena jamani,
watabaguana mpaka basi kwa vile ubaguzi ndani ya chadema ni jadi yao na bado kazi inaendelea.
 
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma, sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.

...waathirika wa madawa ya kulevya utawajua tu...kachukue buku 7 yako Lumumba ukazimue...
 
:A S 2152:
kwani zito siwalisema kwa bab ni mchaga inakuwaje tena jamani,
watabaguana mpaka basi kwa vile ubaguzi ndani ya chadema ni jadi yao na bado kazi inaendelea.
:A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza
 
:A S 2152::A S 2152:Tehe tehe tehe....! wakati chadema wanatumia nguvu nyingi kuitafuta nafasi ya kuingia Ikulu basi CCM wanacheza na Pychology na kutumia akili kuwa maliza

mmeanza kubagua mpaka damu zenu kazi mnayo kweli.
 
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma, sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.

Sasa kama mpendwa wako ZITTO ameshindwa kuijenga CHADEMA mkoani kwake tu vipi angekabidhiwa CHADEMA TAIFA? Alipotaka kugombea uenyekiti taifa ilikuwa ni mpango wa kuisambaratisha CHADEMA bahati mbaya kwake na wapambe wake wakashitukiwa mapema!! CHADEMA mkoani Kigoma inasambaratishwa na ZITTO mwenyewe kwa sababu ya UJUAJI NA TAMAA ZAKE!! The guy has got self interests na hakuna aliyemtenga bali amejitenga yeye mwenyewe!! Pamoja na elimu yake lakini anasumbuliwa na USWAHILI!!!

Ni kipi alichofanya kuindeleza CHADEMA mkoani Kigoma na mikoa jirani? Tueleze mafanikio yake kisiasa mkoani humo: Je tangu awe mbunge na hizo sifa mnazompa amefanikiwa kuongeza madiwani na wabunge wangapi? Kama wewe siyo MGANGA NJAA natumaini utakuja na majibu ya maswali yangu!!
 
kwa sasa chadema kimezidi kwa ubaguzi mpaka kinakela sana wanakuwa kama kagame bwana.
 
Kutokana na mvutano unaoendelea ndani ya Chama cha demokrasia na maendeleo na Chadema imesababisha Chama hicho kusambaratika na kupoteza mvuto mkoani kigoma, sababu hasa inaonekana ni kutengwa kwa kijana wao zitto kabwe ndani ya chama hicho, na hata tetesi zinazoongelewa katika vijiwe vya siasa mkoani kigoma, aliye kuwa mgombea wa chama cha chadema Mwaka 2010 Ally mlee akakihama Chama muda wowote kuanzia sasa. Hali ni mbaya mkoani hapa, kila kijiwe kinaongelea ubaguzi ndani ya chama hicho.

dhambi ya ubaguzi haitaishia hapo, watazidi kusigishana sana tu.
 
Back
Top Bottom