Elections 2010 CHADEMA yapoteza umaarufu mkoa wa Kigoma

mkigoma

JF-Expert Member
Jul 26, 2011
1,180
309
Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni.

Huku wakijikita hasa na mikoa ya kaskazini, pia na kuwatuhumu viongozi wa kitaifa hasa wanaotoka mkoa huo kuonekana kuwa ni mapandikizi, mbali na Zitto pia wanakumbushia Dr Walid Aman Kabourou ambaye ndie aliyeieneza cdm mkoani humo aliitwa pandikizi na viongozi wenzake hasa pale alipotishia kutaka uenyekiti wa chama hicho, hapo ndipo zinapoanza propaganda chafu, kwa hiyo sasa wameamua kutafuta chama chochote si ccm wakiunge mkono.

Ndio maana hata kura za urais mgombea wa CHADEMA alipata kura chache sana na kuambulia jimbo 1, kwa hiyo uchaguzi ujao kulibakisha jimbo hilo itakuwa ndoto.

Mtoaji wa habari ni mkazi na mzaliwa wa kigoma.

Tatizo la Kigoma linasababishwa na nyie wenyewe. Kwanza lazima mkubali kuwa mnapaswa kuongozwa, na kwamba kuna watu wanafahamu kuliko nyinyi. Hao uliowataja including Nsanzugwako amabaye alikuwa NCCR-Magaeuzi akarejea CCM wanachangia Kigoma kufikiliwa hivyo, na kuna ukweli wake.
Lazima wanasiasa wa Kigoma wafikie hatua ya kukaa chini na kujiuliza wana tatizo gani. Mimi binafsi huwa naweka wazi simwamini Zitto. Nilishagawahi kumwambia hivyo akaniblast ile mbaya. Lazima Kigoma itengeneze wanasiasa wapya ili kuchukua nafasi ya hao wanopotza mvuto. Kigoma ni wahasisi wa mageuzi kwa maana ya kuwa na mbunge wa kwanza kuingia bungeni kutoka upinzani. kuna haja kigoma kama mkoa mkae chini na mtafakali hili.vinginevyo mtabaki historia tu.

shut up

kigoma is petty business for now .... we are now on wholesale business... now attention is to the national oil shortage tragedy

Tatizo la kigoma ni kutokukubali kuongozwa na hii ipo kokote si kwenye siasa tu hata makanisani pia. They are really troublesome these guys. Kwanini msikubali kuongozwa? Ningekuwa church ningesema wanapepo la kuongoza ambalo halikubali kuongozwa. Mpaka pepo hili litoke then kigoma itapata wanasiasa watakao fikia kimo cha juu zaidi otherwise forget it! Siku zote kinachotuangusha wanadamu ni kukosa unyenyekevu kitu ambacho bila hicho hatuwezi kumpendeza mtu yoyote.

Hata kama mtaweza kupata kuwa viongozi lakini bado wale mtakao waongoza hawatakubali kwa sababu hamtakuwa tayari kunyenyekea kwao kisa mko juu ya yote. Kimsingi watu wa namna hii wanaweza kuwaongoza watu wa aina yao tu lakini hawawezi kuwaongoza watu wa makundi mangine. Kama hawatakubali kujishusha hawataweza kufaa kwa uongozi wa kitaifa maana unajumuisha makundi ya aina nyingi.

Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni.

Huku wakijikita hasa na mikoa ya kaskazini, pia na kuwatuhumu viongozi wa kitaifa hasa wanaotoka mkoa huo kuonekana kuwa ni mapandikizi, mbali na Zitto pia wanakumbushia Dr Walid Aman Kabourou ambaye ndie aliyeieneza cdm mkoani humo aliitwa pandikizi na viongozi wenzake hasa pale alipotishia kutaka uenyekiti wa chama hicho, hapo ndipo zinapoanza propaganda chafu, kwa hiyo sasa wameamua kutafuta chama chochote si ccm wakiunge mkono.

Ndio maana hata kura za urais mgombea wa CHADEMA alipata kura chache sana na kuambulia jimbo 1, kwa hiyo uchaguzi ujao kulibakisha jimbo hilo itakuwa ndoto.

Mtoaji wa habari ni mkazi na mzaliwa wa kigoma.

Kwa nini umekilenga chama cha Chadema tu na sio vingine!!?Taarifa hiyo uliyopewa na mkazi Wa huko umeifanyia uchunguzi?kwa haya uliyoyaanisha hapa nikisema "umekurupuka"nntakuwa nimekosea!!?

Nani kakwambia cdm imekosa mvuto?wewe ni pandikiz la magamba.kati ya mikoa ninayoiheshmu kwa mageuzi na ungangali ni kgma.wilaya za kbndo na kasulu waliaidiwa lami na jk 2005, mwaka jana wilaya hiz zilikuwa na 3km za lami nao ukiwa uchafu.aliaid umeme na mwaka jana june alikuja kuwadanganya kwa kusimika nguzo still walimnyima kura.nina ushaid dr slaa alipata kura kibao kulinganisha na jk.

Wewe utakuwa kambi ya nsanzugwanko,kijiko na msaliti mkuu warid kaburu.je alipoondoka kaburu chama kiliteteleka? Matokeo ya ubunge mwaka jana kgma mjini si yalitangazwa kama ya shnyanga mjini, mim ni kgma na kama wewe ni muha basi wewe ni wale waliolowea mikoani.njoo nyumban uone linaloendlea.

Chama cha Democrasia na Maendeleo chadema kimeanza kupoteza mvuto katika mkoa wa kigoma hii ni kutokana na chama hicho kutokuwa wanaongelea matatizo ya mkoa huo bungeni.

Huku wakijikita hasa na mikoa ya kaskazini, pia na kuwatuhumu viongozi wa kitaifa hasa wanaotoka mkoa huo kuonekana kuwa ni mapandikizi, mbali na Zitto pia wanakumbushia Dr Walid Aman Kabourou ambaye ndie aliyeieneza cdm mkoani humo aliitwa pandikizi na viongozi wenzake hasa pale alipotishia kutaka uenyekiti wa chama hicho, hapo ndipo zinapoanza propaganda chafu, kwa hiyo sasa wameamua kutafuta chama chochote si ccm wakiunge mkono.

Ndio maana hata kura za urais mgombea wa CHADEMA alipata kura chache sana na kuambulia jimbo 1, kwa hiyo uchaguzi ujao kulibakisha jimbo hilo itakuwa ndoto.

Mtoaji wa habari ni mkazi na mzaliwa wa kigoma.

nina mashaka na utanzania wa wanakigoma.

Kwa nini umekilenga chama cha Chadema tu na sio vingine!!?Taarifa hiyo uliyopewa na mkazi Wa huko umeifanyia uchunguzi?kwa haya uliyoyaanisha hapa nikisema "umekurupuka"nntakuwa nimekosea!!?

kwa kuwa ndio chama cha kwanza kupata nguvu za kisiasa, na mimi mzaliwa na mkazi wa kigoma ujiji.

Kuna watu wanataka kuwachanganya wanakigoma. Nategemea wanakigoma ndio wenye maamuzi ya wanachokitaka, haya ya kuzungumzia wanakigoma wana mawazo gani si suala la kuzungumza na nategemea watu wanaandika purposely kufanya chama fulani kionekane ndicho kinatukana watu. Kuweni makini wanakigoma maendeleo yenu yapo kichwani mwenu, mnaweza kufikiria, mnaweza kuamua

Nani kakwambia cdm imekosa mvuto?wewe ni pandikiz la magamba.kati ya mikoa ninayoiheshmu kwa mageuzi na ungangali ni kgma.wilaya za kbndo na kasulu waliaidiwa lami na jk 2005,mwaka jana wilaya hiz zilikuwa na 3km za lami nao ukiwa uchafu.aliaid umeme na mwaka jana june alikuja kuwadanganya kwa kusimika nguzo still walimnyima kura.nina ushaid dr slaa alipata kura kibao kulinganisha na jk. Wewe utakuwa kambi ya nsanzugwanko,kijiko na msaliti mkuu warid kaburu.je alipoondoka kaburu chama kiliteteleka?matokeo ya ubunge mwaka jana kgma mjini si yalitangazwa kama ya shnyanga mjini!mim ni kgma na kama wewe ni muha basi wewe ni wale waliolowea mikoani.njoo nyumban uone linaloendlea.

<br / mwambie bana anataka kutudanganya sbb tuko mbali

Back
Top Bottom