CHADEMA yamjibu Nape; Muendelezo wa majibu mepesi kwa maswali magumu

HIVI HAWA WANAFANYA MZAHA AU VIPI. wamesahau wao ndo wanasema kila mara kuwa ZITO aliwekewa mizengwe kugombea uenyekiti 2009 ,sasa tangu 2009 je miaka mitano imeshafika? waacheni wafu waomboleze vifo vya wenzao.
 
tumeshikwa pabaya ndio maana hatufanyi uchaguzi. Maana dalili ya kushikwa pabaya ni kuacha kulifanya hata lile la wajibu kwa woga wa kijinga.

Kwani uchaguzi mnaotaka nyie ni jina uchaguzi kama wa magamba au ni nini? Mfano kwa uchaguzi wenu wa mwenyekiti si danganyayoto kama mnacheza makida bora hata CDM ambao hawajaincur codt kuiyidhs huo uchshuzi.
 
kama nape angekuwa mtu mwenye akili timamu angeanza kwanza kutatua matatizo ndani ya chama chake badala ya kurukia uchaguzi wa chadema ambao haumwongezei kitu chochote, magamba yameshavuliwa ccm? waliotoa rushwa kwenye chaguzi za ccm kinana ameshawashughulikia? mafisadi wakubwa ccm wamechinjwa? wanaojipitishwa kwa watu wakichangia mamilioni ya pesa kwenye harambe, wakati kumbe ni kampeni za uraisi 2015, ccm inawaoneje? nape toa kibanzi kwanza kwenye jicho lako kabla ya kuangalia kwa mwenzako
 
Naona bado una kasumba kuishi nje unakuwa msomi wa kweli hilo mbona lishapotea siku hizi baada ya watu kama W J MALECELA kurudi nyumbani tukawaona uwezo wao wa kufikiri unazidiwa ata na division 5.

Kama na huyu WJMalecela amewai kusoma huko kwenye elimu bora bado akabaki kuwa bogas namna hii basi tena sngesoms shule za kata ingekuwa majangaaaaaa.
 
Magazeti mengi ya leo yamepambwa na kichwa cha habari Chadema yamjibu Nape na ukiisoma habari hiyo kwa undani utapata kauli iliyotolewa na Mkurugenzi wa habari na Uenezi wa Chadema, John Mnyika kwa niaba ya Chama Chake kuwa kauli ya Nape kuwa Uchaguzi wa ndani ya Chama hicho haujafanyika kwa muda mrefu kinyume cha utaratibu na katiba ya Chama hicho sio ya kweli.

Nasema tena kuwa viongozi hawa wakubwa na wenye heshima kwenye vyama vyao waanze kuzitathimin na kuzipima kauli zao kabla hawajazitoa kwa wafuasi wao na jamii kwa ujumla. Hivi karibuni tumeshuhudia mgogoro mkubwa ambao umetokana na baadhi ya miungu watu wa Chama hicho kuchakachua katiba ya chama na wengine wakisema wazi kuwa Chama hicho hakiwezi kufanya uchaguzi kwa kuwa tu hakijakomaa, na kwamba uchaguzi ndani ya chama utafanyika Chama hiko kikikomaa kauli ambayo ni kinyume na Katiba na kanuni za Chama chao.

Mnyika alipaswa kuzungumza na wakubwa zake juu ya kauli zao ambazo zipo mtaani tayari kabla ya kuja na kauli ambayo haina mashiko na ambayo inaendelea kukivua nguo chama hicho kwa kuonyesha kuwa hakina viongozi makini wenye kufanya mambo kwa uadilifu na weledi.

Kumpinga Nape pekee hakutoshi hasa kwa kuzingatia kuwa tayari minong'ono ya wanachama na hata wakereketwa wa chama hicho kuanza kuhoji kuwa uchaguzi ndani ya chama hicho upo utafanyika lini baada ya kuwepo kwa mizengwe na sintofahamu kuhusu suala hilo ambalo lipo kikatiba ndani ya Chama.

Mnyika na wenzake wana namna moja tu ya kumjibu Nape, na jibu hilo litakuwa ndio jibu sahihi; WATANGAZE TAREHE YA UCHAGUZI NDANI YA CHAMA HICHO KULINGANA NA MATAKWA YA KATIBA YAO. sio kujitokeza kwenye vyombo vya habari na kauli nyepesi nyepesi ambazo hazitoi mwelekeo wa jambo hilo kwa wanachama na hata wananchi wasio wanachama wa Chama hicho, haiana maana kusema Nape sio mkweli na kila mmoja anajua kuwa Uchaguzi ndani ya chama unapigwa danadana kila Uchao huko ni kuendelea kujivua nguo mchana kweupe.

CHADEMA iache kutoa majibu mepesi yasiyo na maana yeyote ili wajijengee heshima na credibility katika maaamuzi na mipango ya masuala yahusuyo Chama chao.

Hii mitakataka ya CCM sijui ikoje....inawaza kinyume...badala yakuvua magamba na kuhakikisha ubakaji, madawa yakulevya yanakomeshwa, tembo hawauwawi, mnaishia kuongelea uchaguzi CDM.
Eti wanachama wanataka uchaguzi...we ni mwanachama hadi uisemee CDM?Pumbafu kabisa...

Maandiko yenu ya kijinga yanatia kinyaa na yanazidi kuipaisha CDM....honereni kwa kufanya kazi isiyowahusu.

M/kiti wenu kila siku kiguu na njia hajui hata majukumu yake .....mnaishia tu....ngóngóngó.

Haku na uchanguzi hadi 2016...period!!!
 
Chadema,acheni kubishana na debe tupu(nape) kwani jukumu mlilokabidhiwa na wananchi la kuwakomboa ni zito
 
Hiv nikimkataza mke wangu kupita uchochoroni uck kwa kuwa kuna walevi wanaweza kum baka ni kosa?
 
Nape ni mjinga wa kupuuzwa!

Uchaguzi wa CHADEMA mara ya mwisho ulifanyika Septemba 2009 ambapo ulikuwa na wagombea wawili kwenye nafasi ya uenyekiti (Mh Mbowe na ZZK) ambapo baadae ZZK alijitoa na hivyo Mbowe kuwa mwenyekiti huku mzee Said Arfi akichaguliwa kuwa makamu mwenyekiti bara na makamu mwenyekiti Zanzibar akawa Issa Said Mohamedi.

Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA sura ya sita 6.3.2 muda wa uongozi.

(a) kila uongozi uliochaguliwa au kuteuliwa wakati wa uchaguzi mkuu wa chama utashika wadhifa wake kwa kipindi cha miaka mitano.

(b) kiongozi aliyechaguliwa au kuteuliwa baada ya uchaguzi mkuu atashika wadhifa wake hadi kipindi cha uchaguzi kinachofuata.

(c) kiongozi aliyemaliza muda wa uongozi ana haki ya kugombea na kuchaguliwa tena mradi awe anatimiza masharti ya kuchaguliwa kuwa kiongozi.

(d) muda wa uongozi unaweza kufupishwa kama mamlaka iliyochagua au kuteua itaamua hivyo.

Kama kwa mujibu wa katiba ya chadema uchaguzi unafanyika kila baada ya miaka mitano, je kuanzia Sept 2009 mpaka leo Nov 2013 Nape anataka kusema imeshapita miaka mitano? Na kwa nini Nape na Magamba wenzake- wasukume uchaguzi wa ndani ya chadema wakati- muda haujafika?

Je, iibue mashaka kuwa wanamgombea wanaomtaka zaidi wao (ccm) agombee uenyekiti wa chadema kuliko wasivyo mtaka mwenyekiti wa sasa ambaye bado hajamaliza muda wake?

Ukweli unabaki kuwa ccm wanataka mwenyekiti wa chama pinzani ambaye anaweza ku-compromise kwa vipande vya fedha, magari mazuri ya kifahari na zawadi nyingine za gharama kubwa. Kwa sasa wanaona kuwa kwa uongozi uliopo ambao haujamaliza muda hayo hayawezekani ndio maana kihoro kimewabana huku wakimpigia chepuo mwenyekiti chaguo lao.

Mwenye macho haambiwi tazama!
 
Mkuu afadhali umenena,hata hivyo magamba ni sikio la kufa,halisikii dawa.
 
Dr.Alisema hakuna mpango wa uchaguzi mpaka chama kiwe imara. Je hii sio kuisigina katiba ya CHADEMA?
Uchaguzi ndani ya Chadema unaihusu Chadema si wanaccm. Mbona ccm haijatokea mwenyekiti wenu akawa contestant, kwani ndivyo katiba yenu inavyosema?
 
Uchaguzi wa mwenyekiti wa ccm ulifanyika lini?

Mwenyekiti wa CCM huwa hachaguliwi ndugu!
Ni mwenyekiti kwa nafasi yake!
Wapumbavu wengi wanaoulizia uchaguzi ndani ya CDM hawawezi kutuambia ni lini waliwahi kumchagua mwenyekiti!
Hata hvyo CDM haiwezi kuiga upuuzi kama huu
 
Baada azungunke kueleza nini chama chake kimefanya kwa miaka yote 50, anongelea uchaguzi wa chama na mbaya kabisa chama kisicho muhusu. CCM msijibaraguze mna la kujibu kwa wananchi kuhusu maendele na rasilimali zetu HASA TEMBO na MADINI?

Sasa hivi tunataka kusikia kinana anakamatwa lini na Yule mzee wa unga anakamatwa lini (Mzee aliyeharibu watoto wa pale kwa manyanya, Mbunge wao)

Na yule mbakaji....
 
Back
Top Bottom