Chadema yajikita Kyela; CCM warudisha kadi kwa mamia...

Kijallo

JF-Expert Member
Mar 3, 2011
409
61
Ni safari ya uzinduzi wa matawi,ndiyo imeanza,ngome ya Mwakyembe ndio inateketetea,matawi manne yatafunguliwa,
 
Ni safari ya uzinduzi wa matawi,ndiyo imeanza,ngome ya Mwakyembe ndio inateketetea,matawi manne yatafunguliwa,

Sijakuelewa. Unaropoti kuhusu maandamano leo Kyela au unatuarifu Chadema wamefungua matawi Kyela?
 
Sijakuelewa. Unaropoti kuhusu maandamano leo Kyela au unatuarifu Chadema wamefungua matawi Kyela?
kyela hakuna maandamano kuna mikutano kama mi4,hapa tulipo ni Kapwili,wanachama wanarudisha kadi za ccm.
 
Nakereka sana na hao wanaorudisha kadi,hawana uchungu nazo maana wanajua hawakuzinunua na watapewa tu zingine uchaguzi ukifika,Cha muhimu ni kuonyesha uso wako kuwa unachukia ufisadi basi.
 
Sasa tuko tawi la lilopewa jina Edwin Mtei,mahali panaitwa itunge,kadi za ccm 34,zinarudishwa
 
ndugu endelea kutujulisha sisi tunaotaka taarifa,wapo nani na nani? na zitto yupo?
 
Asante CDM kuamsha watanzania; this time kila anayetaka kuwa kiongozi lazima apime kama anaubavu wa kutatua matatizo ya wana nchi. Hivi jamani naomba kuuliza ukihamasisha watu kuwa kataa wabunge wote waliochakachua kwa mtindo kama ule wa Muleba ni uhaini? Naona hii strategy itasaidia kupunguza hizi siasa sanii za chama cha magamba. Maana tume ya uchaguzi wameichakachua, katiba sijui kama watatupa mpya so kama hawataki sheria ichukue mkondo kwa upande wao na sisi tukiamua kuipindisha kwa namna hii si itakuwa ngoma droo? Mpaka kila mtu akubali kuongozwa na sheria. Nifahamisheni fasta ili nianze mpango mzima wa uharakati wa kuongoza operation 'popoa mawe na kisha zomea' wabunge wote ambao hawawakilishi mawazo ya wana nchi!
Ha ha ha! Safi sana, hiyo itaitwa OPOMAKIZO, POMAKIZO au POMAZO?!
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Nakereka sana na hao wanaorudisha kadi,hawana uchungu nazo maana wanajua hawakuzinunua na watapewa tu zingine uchaguzi ukifika,Cha muhimu ni kuonyesha uso wako kuwa unachukia ufisadi basi.

Unaweza kuuchukia ufisadi bila kuwachukia mafisadi wenyewe?
 
Ni mwanzo mzuri, mpaka kufika 2015 mtakua mmeifikia Tanzania nzima.. Kwani matawi na ofisi za chama ni kitu muhimu sana kwa uhai wa chama..
 
Back
Top Bottom