Chadema yajikita Kyela; CCM warudisha kadi kwa mamia...

ipinda kadi 23 za ccm zinarudishwa hadharani,kumbuka wengine wanaogopa hadharani,

Kijallo,

Angalieni sana hizo kadi. Kumbuka hizo ni katika kadi 15,000 za ccm zilizoingizwa Kyela na kupewa vijana wa chadema kumsaidia mgombea wa ccm.

Leo wanarudi nyumbani na kesho wakilipwa tena wataenda kwingine tena.

Nyie waelemisheni watu na wataelewa na wengi watakuja wenyewe kwa mapenzi yao.

Hao vijana wenye kadi wengi ni biashara na sio watu wa kuwategemea sana.
 
Ahhhhhhaaaaaaa jamani raha ya ukombozi ni dalili za ushindi! Lazima nchi yenye maziwa na asali tuikomboe wenyewe, "Wakati ndio huu wa miti kusema na mawe kujibu"
 
Unajua CCM sasa inafikia mwisho,cha msingi viongozi wa matawi wajijue kua wana kaz nzito ya kushawishi jamii inayowazunguka ili kupata picha halisi nini malengo ya Chadema.

Ombi:
Migogoro iepukwe kwani haitaweza kuijenga Chama.
 
Yule Tendwa alishindwa tu kusema kile kilichokuwa sahihi -- kwamba si tu Jk alipumulia mashine wakati wa uchaguzi, bali alishindwa kabisa uchaguzi ule!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
:israel:Chadema kwekweli manatisha endeleeni kuwasha Moto Mpaka kieleweke, Saa ya Ukombozi ni sasa, kwamoto wenu ulivyomkali Magamba ya CCM yanababuka. Daima Mungu ni Mwema ipo siku Kitaeleweka.
 
mijitu mingine mibishi loh! We unajua siasa za kyela kuliko wanakyl wenyewe? Hivi unawachukuliaje? Ikolo kazomewa, kaenda Boda nako amezomea, nini unachokitaka?
ndio nyumbani nini?ikolo ndio nyumbani kwao,nako kazomewa
 
NYOTA NJEMA................................
MUNGU amesikia kilo chetu wana wa TZ,sasa anatuvusha kama wana wa ISLAELI ahsante.
 
Jumla ya kadi za ccm zilizorudishwa kwa leo ni 721,wandugu nikitulia ntawajulisha ambayo ckuyatarajia kyela
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Leo nimejua kirefu cha UVCCM,Kuna bango limeandikwa kirefu chake ni Umoja Wa Virusi Chanzo Chake Mafisadi,hapa huku kijijini kweli Ccm chali,
<br />

Sasa hivi mengi tutayasikia kama yako.Na watakieni hayo mnayoyatarajia japo Watanzania hawa nashindwa kuwatabiri.
 
Akili na mawazo yangu nimeelekeza watakapo kuja kanda ya kaskazini! Sipati picha!
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Here are some photos from Kyela!
 

Attachments

  • 08052011137.jpg
    08052011137.jpg
    222.8 KB · Views: 105
  • 08052011149.jpg
    08052011149.jpg
    212.5 KB · Views: 82
  • 08052011139.jpg
    08052011139.jpg
    242.9 KB · Views: 78
  • 08052011136.jpg
    08052011136.jpg
    208.1 KB · Views: 70
  • 08052011135.jpg
    08052011135.jpg
    220.5 KB · Views: 65
  • 08052011134.jpg
    08052011134.jpg
    391.5 KB · Views: 60
  • 08052011133.jpg
    08052011133.jpg
    187.3 KB · Views: 62
  • 08052011132.jpg
    08052011132.jpg
    194.8 KB · Views: 61
chadema mmewasha moto endeleeni kuuchochea..tunawasubili kanda ya kazikazini..
 
Sasa tuko tawi la lilopewa jina Edwin Mtei,mahali panaitwa itunge,kadi za ccm 34,zinarudishwa

Ni jina muafaka la tawi. Kazi yote aliyofanya Mzee Mtei serikali ya CCM haijaweza hata kumpa njia ya waenda kwa miguu? CDM itakapokomboa nchi itatambua kazi aliyofanya Mzee Mtei. KIA au Mwanza Airport itaitwa Edwin Mtei Internationa Airport.
 
Kijalo ukumbuke umeahidi ukishatulia utatusimulia yale ambayo hukuyatarajia Kyela. Usisahau kufanya hivyo; ahadi ni deni.

Nawapongeza majasiri waliothubutu kurudisha kadi za CCM. Hawa watu ni waonevu sana. Kuna wakati Sumaye aliwapasulia wazi wafanyabiashara Moshi kwamba wasipokuwa wana CCM hawatapata huduma yoyote ya serikali.

Na swali la mwisho ni kuhusu Kyela: imekuwa mji? zamani ilikuwa ni mahali, sio mji.
 
Back
Top Bottom