Chadema yaitaka Serikali kueleza imejipangaje kukabiliana na baa la njaa na bei kali za vyakula

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Hii ndio Chadema

Katibu Mkuu wa Chadema Mh John Mnyika amesema Serikali inatakiwa ieleze ndani ya Bunge na Nje imejipangaje kukabiliana na baa la njaa linalokuja na bei kali za bidhaa zinazoongezea wananchi ugumu wa maisha

Aidha Mnyika aliwataka polisi wamtajie kifungu cha Sheria kinachomzuia asitekeleze majukumu yake ya kikatiba mjini Morogoro.

Source ITV Habari

My take: Chadema Morogoro Mmetisha Devotha Minja na Malisa Big up
 
Back
Top Bottom