CHADEMA yachelewesha mishahara ya watendaji wake?

GeniusBrain

JF-Expert Member
Nov 3, 2010
4,315
306
Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya mishahara yao kamili, tatizo ni nini ? hamna hela au Kada wa Chama Tawala Thabodo hajawapa misaada kama kawaida yenu?. Na hili mlifanyie kazi ofisi zenu za huku mikoani ni chafu, hazina samani, na nyingi kodi za pango zinadaiwa , myafanyie haya kazi sio maandamano tu
 
Uchokonozi huo!! Inaonekana watendaji wamekulalamikia. Siamini katika kipindi hiki ambacho CHADEMA wapambana kutwaa dola wafanye kosa la kutowalipa watendaji wao ambao nadhani ndio huwa wanaandaa maandamano. Kama kuna kosa kama hilo basi ni kosa baya sana kwani watendaji hao wanaweza kununa hasa wakijua kwamba viongozi ambao huwa wanaenda kwenye maandamano huko mikoani hulipwa posho zao bila kukopwa.
 
Wewe ni gamba jipya limbukeni mkubwa wewe,naona umekosa cha kuandika nenda kwenye ofisi za CCM,ukachukue posho kama kawaida yenu mana huwa hamna cha kufanya mjini,kwa taarifa yako viongozi wote wa mikoa wanalipwa na ndiyo waandaaji wa mikutano na mandamano ya CHADEMA,na kuna fungu linatolewa kwa kila mkoa kutoka halmashauri kuu ya chama,
 
Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya mishahara yao kamili, tatizo ni nini ? hamna hela au Kada wa Chama Tawala Thabodo hajawapa misaada kama kawaida yenu?. Na hili mlifanyie kazi ofisi zenu za huku mikoani ni chafu, hazina samani, na nyingi kodi za pango zinadaiwa , myafanyie haya kazi sio maandamano tu

hongera john mrema kwa kukutetea mzee, japo wewe ni mnafiki kwelikweli, kwa nini usiende kwa slaa moja kwa moja na kumweleza haya yote, acha unafiki wewe, mimi juzi nilikwambia nitaondoka makao makuu endapo sitalipwa mwezi huu, tuakakubaliana tumwandikie barua katibu mkuu, wewe umeanza kuropoka jf
 
Ninyi wafanyakazi wa CDM acheni malalamiko ya kijinga, sasa hivi chama kinaelekeza mapato yake kwenye familia ya katibu mkuu kwa kuwa yule mke aliyekwiba anatarajia mtoto,vipaumbele kwa sasa ni pampaz, maziwa, na kuwalipa mawakili. Ninyi subirini tutakapoletewa fedha za maandamano kutoka ulaya.
 
Tumeambiwa kuwa wafanyakazi wa CHADEMA wako katika kujitolea sasa hili la mishahara umelitoa wapi?
 
mafisadi wamekomba mapesa kununu fuso za mwenyekigoda na kumlipa daktari wa wakatoliki.

wafanyakazi wanakatwa kodi pesa hazifiki tra. ufisadi wa karne mpya
 
Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya mishahara yao kamili, tatizo ni nini ? hamna hela au Kada wa Chama Tawala Thabodo hajawapa misaada kama kawaida yenu?. Na hili mlifanyie kazi ofisi zenu za huku mikoani ni chafu, hazina samani, na nyingi kodi za pango zinadaiwa , myafanyie haya kazi sio maandamano tu

Toa data, watendaji wa wpi. Tuwatumie pesa.:smow:
 
Miezi mtatu bila mshahara, na bado wanaendelea na kazi? Kweli hao wana uchungu na nchi yao, hata usiwameee maana unajidhalilisha.
 
hongera john mrema kwa kukutetea mzee, japo wewe ni mnafiki kwelikweli, kwa nini usiende kwa slaa moja kwa moja na kumweleza haya yote, acha unafiki wewe, mimi juzi nilikwambia nitaondoka makao makuu endapo sitalipwa mwezi huu, tuakakubaliana tumwandikie barua katibu mkuu, wewe umeanza kuropoka jf

Majambazi wanafanya uhalifu halafu wanadodosha ID ya msamaria mwema ili kumuuzia kesi. Kazi kwelikweli.
 
CHADEMA haina wafanyakazi HEWA. Wewe unaweza kuwa wa kwanza!

Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya mishahara yao kamili, tatizo ni nini ? hamna hela au Kada wa Chama Tawala Thabodo hajawapa misaada kama kawaida yenu?. Na hili mlifanyie kazi ofisi zenu za huku mikoani ni chafu, hazina samani, na nyingi kodi za pango zinadaiwa , myafanyie haya kazi sio maandamano tu
 
Hivi inakuwaje CHAKushindwa (CHADEMA) watumishi wenu na watendaji wenu hamwalipi mishahara yao ? taarifa za uhakika huu ni mwezi wa 3 , sasa mnawazungusha na kuwalipa partial partial badala ya mishahara yao kamili, tatizo ni nini ? hamna hela au Kada wa Chama Tawala Thabodo hajawapa misaada kama kawaida yenu?. Na hili mlifanyie kazi ofisi zenu za huku mikoani ni chafu, hazina samani, na nyingi kodi za pango zinadaiwa , myafanyie haya kazi sio maandamano tu

Nimeshtukia nia yako. unataka nipate Ban
 
Wewe ni gamba jipya limbukeni mkubwa wewe,naona umekosa cha kuandika nenda kwenye ofisi za CCM,ukachukue posho kama kawaida yenu mana huwa hamna cha kufanya mjini,kwa taarifa yako viongozi wote wa mikoa wanalipwa na ndiyo waandaaji wa mikutano na mandamano ya CHADEMA,na kuna fungu linatolewa kwa kila mkoa kutoka halmashauri kuu ya chama,

Wewe ni Mtumishi wa Chadema?
 
Mimi ushauri wangu kwa Chadema hela wanayopata ya ruzuku wakae waifanyie vipaumbele hasa ofsi zao mikoani zina hali mbaya na ukweli wanadaiwa hela ya pango maeneo mengi.
 
CDM hailipi mishahara.inalipa posho tu.kama unataka kulipwa mishahara nenda uajiriwe na makampuni ya akina RA (vodacom) n.k.
 
Back
Top Bottom