CHADEMA YA SITA (hesitate) KUHUSU MUUNGANO.

Nhunda

Member
Feb 4, 2011
17
1
Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano? Ndugu wanajamii naomba mawazo yenu.
 
Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano? Ndugu wanajamii naomba mawazo yenu.

mbona unaficha ficha vijimambo vyako ..... sema usikike ..... habari ya uongo hii eti slaa hakupiga kampeni
 
hii sred inamiss connection flan ngumu kukokotoa, pls unaweza iongezea nyama?
 
Mbona hueleweki ww au ww ni kibaraka wa Chukua chako mapema,lete habari zenye uhakika na za kweli acha kutuletea uzushi,uzandiki na uchochezi.
 
Haikuwa Target yao, Mbona haujauliza Lipumba kupiga kampeni Lindi na Mtwara kwa miezi 2? Acha uzembe wa kufikiri kama CCM
 
Acha uzushi mbona Dr Slaa alienda Zanzibar wakati wa kampeni au ulikuwa hufuatilii habari za kampeni,kipindi cha TBC,ITV walionyesha Dr Slaa akiwa Zanzibar akifanya kampeni.Kuwa makini unapotaka kuleta habari hapa kwa ma great thinker.
 
Kwanza si kweli kuwa hakufanya kampeni Zanzibar. Dr. Slaa alifika Zanzibar wakati wa kampeni na akafanya mkutano na picha zililetwa hapa. In fact, tuliona picha za wakina mama ambao walienda na watoto wao wakinyonyesha sio kama CCM mikutano yao Zanzibar ilijazwa na watoto wa shule ambao wamelipiwa nauli (hela za walipa kodi masikini) ili wahudhurie kwenye mikutano.
 
Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano? Ndugu wanajamii naomba mawazo yenu.
mkuu nakumbuka cdm na Dr Slaa walienda kukampeny zanzibar tena ni baada ya kutoka Mbeya sasa sijui wewe unamaanisha nini!?
 
Inaelekea huyu jamaa wakati wa kampeni alikuwa amelazwa Muhimbili na alikuwa bado hajawa member wa JF. Msaidieni kumupdate na kampeni za CDM Zanzibar pamoja na picha!!
 
Nimekuwa nikijiuliza kwamba, kufuatia Dr. Slaa kutopiga kampeni zake za Urais visiwani Zanzibar wakati wa kampeni za uchaguzi mkuu octoba mwaka jana; Je ni nini mtazamo wa Chadema kuhusu Muungano? Ndugu wanajamii naomba mawazo yenu.

Nhunda check picha za Dr. Slaa zanzibar tar 25.10.2010.

Wahenga walisema picha huzungumza zaidi ya maneno, tafakari kisha chukua hatua.

http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/9752315_orig.jpg

http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/1515258_orig.jpg

http://www.wavuti.com/uploads/3/0/7/6/3076464/405517_orig.jpg
 
mkuu nakumbuka cdm na Dr Slaa walienda kukampeny zanzibar tena ni baada ya kutoka Mbeya sasa sijui wewe unamaanisha nini!?

Nimemwekea link ya picha tayari mwenye ujuzi azifungue na kuattach tafadhari!
 
Back
Top Bottom