CHADEMA: What on earth is this?

Mwanafalsafa1,
Mkuu hicho ndio hasa kilichonichanganya maanake hapo awali niliambiwa kwamba Chadema wanafuata itikadi ya kulia (Conservative). Sasa napoona hii maswla ya kati (Moderate) kusema kweli yanatisha na kuchanganya zaidi iwe ktk mfumo wa Marekani au Urusi kwa sababu hatufahamu wao wanatazama upande gani....

Sina uhakika kama wao wana fuata itikadi ya kulia or not. Lakini tatizo hizi itikadi hazipo strict Tanzania na wao wenyewe hawaelezei. Hii nadhani watu wa Chadema waje kutuelezea wenyewe maana hapa nita fanya guess work tu.
 
Mwanafalsafa1,
Mkuu hicho ndio hasa kilichonichanganya maanake hapo awali niliambiwa kwamba Chadema wanafuata itikadi ya kulia (Conservative). Sasa napoona hii maswla ya kati (Moderate) kusema kweli yanatisha na kuchanganya zaidi iwe ktk mfumo wa Marekani au Urusi kwa sababu hatufahamu wao wanatazama upande gani....

teh teh teh
Yawezekana hata maana ya mrengo wa kulia na kati hawaelewi maana yake kama ambavyo mimi sielewi ukiwa kulia kunafanyika nini na ukiwa kushoto kunafanyika nini teh teh teh teh teh
 
Si unajua siasa za Bongo. Ilimradi mtu aseme kitu kinacho onekana kimeenda shule. Kwanza sioni na sielewi sababu ya kutumia mirengo hii kwa maana majority ya Watanzania hawajui kushoto inakua vipi, katikati ndiyo nini na kulia ndiyo nini. Na hawafanyi juhudi za kuelimisha watu.....halafu eti ndiyo chama cha wananchi wa kawaida hahaha.
 
wasio wa kawaida ndo wapo kwenye chama gani? LOL
 
Kwani mtu akisema wananchi wa kawaida wewe unaelewa nini? Na kwako wananchi wasio wa kawaida ni wakina nani? Mkuu soma post vizuri. Nimesema wanadai wana mrengo fulani bila kufahamisha wananchi wa kawaida hiyo mirengo ni nini na ina fanyaje kazi. Unataka kuniambia mwananchi wa kawaida anaelewa Liberal, Conservative au Moderate ni nani? Kama chama kinacho wakilisha wananchi wa kawaida lazima watumie maelezo ambayo kila mtu ataelewa. Mwananchi wa kawaida is not concerned with ideologies but what you can do for them. Sijui nimeku jibu swali lako?
 
ccm = mrengo kushoto, kutokana na wao wanavyokinadi chama chao cha kijamaa (lakini utendaji wao ni wa mrengo wa kati kulia, utendaji wao wa kazi ni kwa ajili ya wachache na kutegemea wa chache wakipata pia na wengine watapata, wanapendelea huduma za afya binafsi, sera zake za uchumi ni za mrengo wa kulia)

chadema = mrengo wa kati (???? )

DP(mtikila) = mrengo kulia (nationalist (mtaifa) na sera zake nyingi ni kali)

inabidi wanasiasa/vyama na chadema wenyewe watuaeleze mrengo wa kushoto, kati na kulia ni wa aina gani kwa TZ na sio kwa nchi zingine...

hayo ni mawazo tuu lakini sina uhakika....
nadhani hili neno mrengo inabidi uviangalie vyama vyote TZ ndio uweze kupima vina mrengo gani kwa pamoja kulikoni kufikiria chadema peke yake

hili neno limezua mjadala wa vyama vya TZ vina mwelekeo gani (what do they stand for?)
hivi ccm mwelekeo wake wa kisiasa ni upi?
 
Kwani mtu akisema wananchi wa kawaida wewe unaelewa nini? Na kwako wananchi wasio wa kawaida ni wakina nani? Mkuu soma post vizuri. Nimesema wanadai wana mrengo fulani bila kufahamisha wananchi wa kawaida hiyo mirengo ni nini na ina fanyaje kazi. Unataka kuniambia mwananchi wa kawaida anaelewa Liberal, Conservative au Moderate ni nani? Kama chama kinacho wakilisha wananchi wa kawaida lazima watumie maelezo ambayo kila mtu ataelewa. Mwananchi wa kawaida is not concerned with ideologies but what you can do for them. Sijui nimeku jibu swali lako?

Mkuu mimi nielimisha haya mambo si mambo
Liberal,conservative ni ipi mlengo wa kulia na ipi wa kushoto.?

Na hao conservative ni wanazuia changes zipi? maana nakumbuka ma skin head wa east europe ni ma conservative wa tradional yao yani ya kuzuia watu wa mataifa mengine hasa waafrika kuingia ktk nchi yao.? Sasa makonservatie wa siasa wana conserve nini hasa hao wakitanzania.?

Na Liberal mimi naelewa nikuwa tayari kwa mabadiliko .? sasa lipi ni kipi hasa kwa siasa za bongo.?
 
Mkamap,
Kweli hufahamu maana ya mrengo na itikadi zake au unafanya mzaha!..
Sasa kweli kulikuwepo na faida ya kuwa na vyama vingi ikiwa hatufahamu mrengo wa chama husika..Imean kweli wewe unaweza kukata ticket ya kusafiri bila kujua unakwenda na chombo gani? ama kuzungumzia usafiri na shirika la safiri usojua linatumia chombo gani.. maanake huko tunakotaka kwenda kunajulikana, isipokuwa tutafika vipi ndipo mrengo wa kila shirika unapoingia kati..
Kifupi mkuu wangu kwanza ni muhimu ufahamu zaidi kuhusu tofauti za Kushoto na Kulia..haya maswala ya Conservative, Liberal, Progressive na kadhalika ni just political catch phrases with no real meaning. Kwa sababu Liberal wanaweza kuwa kushoto kama America au kati kushoto kama baadhi ya nchi ikiwa ni pamoja na Canada...Kulia inajulikana kuwa ni Conservative na wapo kati yao huitwa Kulia kati ambao sii extreme ktk maswala mengine yanayohusiana na tradition zao..
Sijui nitaweza vipi kukufahamisha kwa ufasaha kuhusu Kulia na Kushoto lakini nadhani itakuwa vizuri kama uta google utapata taarifa nyingi na tofauti baina ya mrengo mmoja hadi mwingine..
Ila kwa lugha yangu ya kihuni husema hivi..

Kushoto:- Mgeni karibu mwenyeji apone...Government will solve all problems.

Kulia:- Mgeni sku ya kwanza mpe jembe akalime...Government should only do what the people can't do for themselves (ie infrastructure, nation defense, regulation ect.)

Kati:- Tutaangalia mgeni akifika...Government works within reasonable limits..
 
Kwa bongo sijui wenzetu kama wana fuatisha the original meanings of those words. Conservertive(Right) hata ukiacha siasa mtu yoyote conservative ni mtu ambaye hakubali mabadiliko kirahisi kwa maana ana fuatisha the norm. Kwa hiyo unakuta viongozi Conservative hawapendi kutoka nje ya status quo na ni kazi kweli kuwa convince juu ya mabadiliko. Liberals(Left) wapo more opened to change. Moderate(Middle) yeye yupo kati kati kwa maana hana msimao mkali iwe kulia au kushoto. Sasa hata Conservatives na Librals nao wana viji group mfano Liberal Democrats, Social Consevertives, Economic Liberals, Economic Conservatives, Social Liberals, Communiterians etc. Yani nikianza kukupa soma itageuka class ya political science sasa. Sina uhakika kama wakwetu wana fuatisha yote haya.
 
An introduction should say, unambiguously, who you are. Being in opposition is supposed to be a temporary condition; it is not what Chedema is. For the time being, Chadema is in opposition, but Chadema is not an opposition party.

What is “Falsafa ya Nguvu ya Umma”? There is no such philosophy in the world. Is Chadema starting a new school of philosophy? But Tanzanians are wary of political ideologies. God knows that they got nothing else since Independence!

I would say that verbal engineering serves no purpose here. Chadema should put up a concise statement whose first sentence says, in simple words, who they are
 
Bingo!!!!
 
Hapa wewe unaona hawako clear? Soma hii katika context nzima:
1. Lazima ujue kwanza hii ni tovuti, sio katiba ya chama iliyochapishwa. Hapa nina maana wana uwezo wa kubadilisha hii haraka iwezekanavyo, kutegemeana na mabadiliko ya kisiasi nchini.
2. Pia unaposoma hii katika context ya political nature ya tanzania, nadhani inaleta maana tosha. Chama tawala ni CCM, chama mbadala ni Chadema.

What is “Falsafa ya Nguvu ya Umma”? There is no such philosophy in the world. Is Chadema starting a new school of philosophy? But Tanzanians are wary of political ideologies. God knows that they got nothing else since Independence!
Nguvu ya umma = people's power. Hichi kimeelezwa zaidi katika katiba ya chama kama ungependa kuisoma. Mwelekeo wa uongozi unatoka kwa umma na sio unatoka kwa viongozi kwenda chini.

I would say that verbal engineering serves no purpose here. Chadema should put up a concise statement whose first sentence says, in simple words, who they are
i think it correctly serves that, if u manage to engage a bit of thinking and the political context of the country, whilst reading it!!
 
Mtoto, Mimi si mwanachama wa Chadema, lakini naona huenda CHADEMA kikawa ndio tegemeo la Watanzania. Ndio maana ningependa kuona Chadema ikiwa na clarity ya hali ya juu.

Wako Watanzania wengi nje na ndani ya nchi ambao wanadhani CHADEMA ndio inapashwa kuchaguliwa kungoza nchi kuanzia 2010. Wanataka waone umakini unaoonyeshwa na viongozi wa CHADEMA unaonekana hata kwenye tovuti yao.

In a way, you are what you write.
 
Ni kweli mkuu. Hapa hakuna tatizo lolote. They have just used sarcasm to express their message. Mimi sioni kabisa tatizo hapa. Labda mkuu MM aje mwenyewe atuambie ni nini haswa kimemuudhi hapa.
Akipenda chongo huona????????????????????????
 
Nimepitia website ya CHADEMA na kusoma yote ambayo Mwanakijiji ameyaweka hapo juu na mengine ambayo hakuyaweka. Kwa kweli kuna mambo mengine mazuri sana yameainishwa ndani yake (kwa mfano sera). Pia nimeona mengine ambayo hayakuwekwa bayana sana. Inawezekana yameachwa hivyo makusudi au kwa kutokujua.

Kwa mtazamo wangu, website hii inaweza ikawa ya msaada zaidi kwa CHADEMA kama wataweka kila wanalokusudia kulijulisha kwa wadau wake bayana zaidi. Naamini kuwa mengi waliyoyaweka hayaelezei sana chama hicho, makusudio na hata imani ya chama hicho.

Naamini kuwa sote tunaijua CHADEMA zaidi kwa matendo yake na kauli zake ambazo nyingi pia haziko kwenye hii website. Tunakiamini chama hiki kwa jitihada zilizo bayana zinazofanywa na viongozi wake na hivyo tulidhani ingekuwa reflected kwenye website na maandishi kama haya. Ni kweli kuwa website inaweza kubadilishwa wakati wowote. Ila isipobadilishwa kauli ya kuweza kubadilishwa inakuwa haina maana.

Mapendekezo yangu ni kuwe na mambo yafuatayo katika website hii;

1. Utambulisho wa chama: Hii inatakiwa itoe maelezo ya jinsi muundo wa chama ulivyo (organization and organisation charts), na jinsi ambavyo inapata viongozi wake. Pia utambulisho wa maana ya bendera yao ili wananchi wajue na ikiwezekana kuipenda kwa imani bendera hiyo. Bendera hutoa picha ya imani, malengo, na nia za chama.

Sidhani kuwa ni vyema kuweka chama kama chama mbadala, kwakuwa kinatakiwa kijinadi kama chama bora zaidi ya chama kingine chochote cha siasa na kipo kwa ajili ya utumishi wa umma. Katika hili, hakitakiwi kuonyesha kuwa, kuna chama ambacho kinajifananisha au kushindana nacho (kiwe the best).
2. Vision ya chama: kuwe na maelezo ya kiufundi kabisa yenye kuonyesha chama hiki kinakusudia nini kwa watanzania au kundi la waumini wake. Kwa mfano, chama kiweke bayana kuwa nia yake ni kushinda uchaguzi wowote wa kisiasa, kutoa uongozi bora, kupambana na rushwa, kulinda na kutetea maslahi ya Taifa, n.k.
3. Imani ya chama: Inabidi kuwe na maelezo ya chama kuhusu imani yake kwa ustawi wa jamii huru. Hii inabidi iwekwe wazi kabisa na isiwe na maswali yasiyojibika. Kusema chama kinafuata mrengo wa kati bila kuelezea inafuataje mrengo huo, na manufaa ya mrengo wenyewe, haina tija.

Website ni njia rahisi ya kutimiza malengo ya kibiashara au kisiasa (njia nzuri ya kujiuza). Ili ujumbe sahihi ufike kwa wanaolengwa na kuweza kupata faida zinazkusudiwa, ni bora kutumia mwanya huo vizuri kadiri inavyowezekana. Kama hilo halitakuwa bayana, basi wanaokusudia kujua zaidi kuhusu chama hicho watakuwa na uhakika kuwa hawataweza kupata maelezo zaidi kutoka kwa mtu mwingine au sehemu nyingine yoyote, ili kujua afanye uamuzi gani (kujiunga/kutojiunga, kushiriki/kutoshiriki). Hii inaweza kukinyima chama fursa muhimu ya kupata ufuasi wa kudumu wenye sababu za kutosha kujiunga nao.
 
that makes two of us, i dont see any big deal on this rather than trying to create unnecessary debate over that, i would call, "moto" of chadema...it sounds right as an alternative part....and that is why they want to take over the leadership of this country....MM unless you have seen something else from that according to your interpretations...
 
Mkamap,
Kweli hufahamu maana ya mrengo na itikadi zake au unafanya mzaha!..
Sasa kweli kulikuwepo na faida ya kuwa na vyama vingi ikiwa hatufahamu mrengo wa chama husika..Imean kweli wewe unaweza kukata ticket ya kusafiri bila kujua unakwenda na chombo gani? ama kuzungumzia usafiri na shirika la safiri usojua linatumia chombo gani.. maanake huko tunakotaka kwenda kunajulikana, isipokuwa tutafika vipi ndipo mrengo wa kila shirika unapoingia kati..
Kifupi mkuu wangu kwanza ni muhimu ufahamu zaidi kuhusu tofauti za Kushoto na Kulia..haya maswala ya Conservative, Liberal, Progressive na kadhalika ni just political catch phrases with no real meaning. Kwa sababu Liberal wanaweza kuwa kushoto kama America au kati kushoto kama baadhi ya nchi ikiwa ni pamoja na Canada...Kulia inajulikana kuwa ni Conservative na wapo kati yao huitwa Kulia kati ambao sii extreme ktk maswala mengine yanayohusiana na tradition zao..
Sijui nitaweza vipi kukufahamisha kwa ufasaha kuhusu Kulia na Kushoto lakini nadhani itakuwa vizuri kama uta google utapata taarifa nyingi na tofauti baina ya mrengo mmoja hadi mwingine..
Ila kwa lugha yangu ya kihuni husema hivi..

Kushoto:- Mgeni karibu mwenyeji apone...Government will solve all problems.

Kulia:- Mgeni sku ya kwanza mpe jembe akalime...Government should only do what the people can't do for themselves (ie infrastructure, nation defense, regulation ect.)

Kati:- Tutaangalia mgeni akifika...Government works within reasonable limits..

Mkuu
nimeanza kukupata ! unajuwa ndio nipo natafuta Nauli ili niangalie ni chombo gani kinafaa.Kati ya bawa la kulia na kushoto
 
Nimepitia website ya CHADEMA na kusoma yote ambayo Mwanakijiji ameyaweka hapo juu na mengine ambayo hakuyaweka. Kwa kweli kuna mambo mengine mazuri sana yameainishwa ndani yake (kwa mfano sera). Pia nimeona mengine ambayo hayakuwekwa bayana sana. Inawezekana yameachwa hivyo makusudi au kwa kutokujua.

Kwa mtazamo wangu, website hii inaweza ikawa ya msaada zaidi kwa CHADEMA kama wataweka kila wanalokusudia kulijulisha kwa wadau wake bayana zaidi. Naamini kuwa mengi waliyoyaweka hayaelezei sana chama hicho, makusudio na hata imani ya chama hicho.

Naamini kuwa sote tunaijua CHADEMA zaidi kwa matendo yake na kauli zake ambazo nyingi pia haziko kwenye hii website. Tunakiamini chama hiki kwa jitihada zilizo bayana zinazofanywa na viongozi wake na hivyo tulidhani ingekuwa reflected kwenye website na maandishi kama haya. Ni kweli kuwa website inaweza kubadilishwa wakati wowote. Ila isipobadilishwa kauli ya kuweza kubadilishwa inakuwa haina maana.

Mapendekezo yangu ni kuwe na mambo yafuatayo katika website hii;

1. Utambulisho wa chama: Hii inatakiwa itoe maelezo ya jinsi muundo wa chama ulivyo (organization and organisation charts), na jinsi ambavyo inapata viongozi wake. Pia utambulisho wa maana ya bendera yao ili wananchi wajue na ikiwezekana kuipenda kwa imani bendera hiyo. Bendera hutoa picha ya imani, malengo, na nia za chama.

Sidhani kuwa ni vyema kuweka chama kama chama mbadala, kwakuwa kinatakiwa kijinadi kama chama bora zaidi ya chama kingine chochote cha siasa na kipo kwa ajili ya utumishi wa umma. Katika hili, hakitakiwi kuonyesha kuwa, kuna chama ambacho kinajifananisha au kushindana nacho (kiwe the best).
2. Vision ya chama: kuwe na maelezo ya kiufundi kabisa yenye kuonyesha chama hiki kinakusudia nini kwa watanzania au kundi la waumini wake. Kwa mfano, chama kiweke bayana kuwa nia yake ni kushinda uchaguzi wowote wa kisiasa, kutoa uongozi bora, kupambana na rushwa, kulinda na kutetea maslahi ya Taifa, n.k.
3. Imani ya chama: Inabidi kuwe na maelezo ya chama kuhusu imani yake kwa ustawi wa jamii huru. Hii inabidi iwekwe wazi kabisa na isiwe na maswali yasiyojibika. Kusema chama kinafuata mrengo wa kati bila kuelezea inafuataje mrengo huo, na manufaa ya mrengo wenyewe, haina tija.

Website ni njia rahisi ya kutimiza malengo ya kibiashara au kisiasa (njia nzuri ya kujiuza). Ili ujumbe sahihi ufike kwa wanaolengwa na kuweza kupata faida zinazkusudiwa, ni bora kutumia mwanya huo vizuri kadiri inavyowezekana. Kama hilo halitakuwa bayana, basi wanaokusudia kujua zaidi kuhusu chama hicho watakuwa na uhakika kuwa hawataweza kupata maelezo zaidi kutoka kwa mtu mwingine au sehemu nyingine yoyote, ili kujua afanye uamuzi gani (kujiunga/kutojiunga, kushiriki/kutoshiriki). Hii inaweza kukinyima chama fursa muhimu ya kupata ufuasi wa kudumu wenye sababu za kutosha kujiunga nao.

mimi nafikiri yote hayo hayatawasaidia.wanaosoma website ni akina mimi hapa wenda hata kwenye kitabu cha kupiga kura hatumo.

Waende huko kijijini ,mjini na mtaani wakawaelezee wananchi kwanini ni chama mbadala na sio kutia korusi zao ktk mtandao.

Wanatofauti gani na chama kilicho madarakani ? Eti nao baada ya uchaguzi wanapotea majimboni wakifuata nyenendo na kuiga kwa kunya mavi makubwa ya CCM huku wakisahau kabisa CCM haihitaji kuji establish kwa wananchi kama wao wanavyohitaji.

Hiki si chama mbadala wala hakina nia na sababu za kukamata nchi.
 
Back
Top Bottom