Kyindokyakombe
Member
- May 1, 2012
- 95
- 96
CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni ELIMU kwa WANAVYUO nao wataenda kuitoa kwa WAZEE wao soon mtaona MABADILIKO.FAIDA nyingine ya kuwekeza kwa hawa WASOMI ni kwamba 2012 ndo watakaokuwa WAGOMBEA kwenye UCHAGUZI MKUU.Kumbukeni hakuna MTUMISHI wa SERIKALI anayedhubutu kugombea kwa kupitia vyama vya UPINZANI.Mkitegemea MAKAPI ya CCM basi msubirie yale ya chibuda.Tambueni the earlier the better.