CHADEMA wekezeni kwa wasomi vyuoni

May 1, 2012
95
96
CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni ELIMU kwa WANAVYUO nao wataenda kuitoa kwa WAZEE wao soon mtaona MABADILIKO.FAIDA nyingine ya kuwekeza kwa hawa WASOMI ni kwamba 2012 ndo watakaokuwa WAGOMBEA kwenye UCHAGUZI MKUU.Kumbukeni hakuna MTUMISHI wa SERIKALI anayedhubutu kugombea kwa kupitia vyama vya UPINZANI.Mkitegemea MAKAPI ya CCM basi msubirie yale ya chibuda.Tambueni the earlier the better.
 
CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni ELIMU kwa WANAVYUO nao wataenda kuitoa kwa WAZEE wao soon mtaona MABADILIKO.FAIDA nyingine ya kuwekeza kwa hawa WASOMI ni kwamba 2012 ndo watakaokuwa WAGOMBEA kwenye UCHAGUZI MKUU.Kumbukeni hakuna MTUMISHI wa SERIKALI anayedhubutu kugombea kwa kupitia vyama vya UPINZANI.Mkitegemea
.
Hivi kumbe 2012 kuna uchaguzi?
 
Mkuu Bikira Wa Kiume, unaonaje ukabilisha hilo jina?
 
Last edited by a moderator:
CDM Msipoteze sn nguvu nyingi za kwenda VIJIJINI kwani wananchi wengi Vijijni hawawekezeki kwani CCM ilishawaharibu kiakili na kisaikolojia So chakufanya andaeni RATIBA piteni VYUO vyote toeni ELIMU kwa WANAVYUO nao wataenda kuitoa kwa WAZEE wao soon mtaona MABADILIKO.FAIDA nyingine ya kuwekeza kwa hawa WASOMI ni kwamba 2012 ndo watakaokuwa WAGOMBEA kwenye UCHAGUZI MKUU.Kumbukeni hakuna MTUMISHI wa SERIKALI anayedhubutu kugombea kwa kupitia vyama vya UPINZANI.Mkitegemea MAKAPI ya CCM basi msubirie yale ya chibuda.Tambueni the earlier the better.

uchaguzi gani mkuu ,
anyway, nice say mkuu Kyindokyakombe
 
Sikatai ila wanavyuo wako wangapi.. japo sina takwimu za uhakika hawafiki 90,000 ukiangalia kwa miaka mitatu ijayo unaongelea wasomi 270,000.. sasa hawa ni wachache sana.

chadema tunawekeza kote kote kwani nchi hii ina watu 47 milioni sasa hawezi kuwekeza kwa watu wasiofika hata milioni.... japo tunawahitaji kwa maendeleo ya nchi hii ila elimu ya juu ya hali ya nchi na mstakabali wa nchi wanapashwa kupewa wote.
 
Back
Top Bottom