CHADEMA wazalendo wakubali kushindwa

Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!
 
Dah mnanikumbusha machungu Sana nikikumbuka kampeni za Dr. Slaa 2010 ndizo zilizonifanya Kwa mara ya kwanza kutumia kichinjio changu na kubwa ilikuwa jinsi alivyoibeba Kwa makini hoja ya ufisadi. Leo hii eti tunaambiwa ilimradi tu CCM itoke Kwa kuingiza majizi? I hate Chadema, I hate politics,
 
padre slaa na mwanakijiji hawa ndio watu unawaita wazalendo...hawa tumeshawatupa pembeni tunasonga mbele
 
UTAFITI MWINGINE ULIOFANYWA KWA SIRI NA CHAMA CHA ACT LOWASSA AMGARAGAZA TENA MAGUFULI. Kuna habari mpya imeibwa kutoka ACT. Chama cha ACT baada tafiti mbalimbali kuelekea uchaguzi mkuu, na wao waliamua kuchukua taasisi moja (jina tunalihifadhi) ambapo waliingia makubaliano ya kufanya utafiti juu ya chama na mgombea anaekubalika kuelekea uchaguzi mkuu. Waliwasisitiza sana wafanye utafiti wa kitaalam pasipokuegemea upande wowote (hata kwao ACT) ili waweze kupata matokeo halisi yanayoakisi uhalisi. Hii sio tu kujua chama kinachokubalika bali pia kuwawezesha kujua ni kwa kiasi gani wao kama ACT wanakubalika na kwa muda wa lala salama wajipange vipi. Utafiti huu umefanyika katika mikoa 20 ya Tanzania, bara na visiwani, mjini na vijijini kwa kutumia wataalam walobobea na kwa kuzingatia vigezo vya kitaalam vya kitafiti. Lowassa kaongoza mikoa 13 kwa asilimia nyingi na Magufuli mikoa 7 asilimia ndogo. Kwa mujibu wa utafiti huu ambao matokeo yake yametoka jana Alhamisi tarehe 8 October 2015, kama kura zingepigwa jana basi, basi haya ndo matokeo halisi kwa upande wa wagombea urais.

1. Mtwara: LOWASSA 48%, MAGUFULI 47, ACT 3%, wengine 2%.

2. Kilimanjaro: LOWASSA 71%, CCM 26%, ACT 2% na vyama vingine 1%.

3. Singida: MAGUFULI 51%, LOWASSA 45%, ACT 3%, wengine 1%.

4. Dodoma: MAGUFULI 56%, LOWASSA 41%, ACT 2%, wengine 1%.

5. Mbeya LOWASSA 75%, MAGUFULI 23%, ACT 1% wengine 1%

6. DSM: LOWASSA 70%, MAGUFULI 26%, ACT 3% wengine 1%

7. Mwanza: LOWASSA 59%, MAGUFULI 36%, ACT 4% wengine 1%.

8. Pwani LOWASSA 48, MAGUFULI 48%, ACT 3%, wengine 1%.

9. Simiyu: MAGUFULI 50%, LOWASSA 47, ACT 2%, wengine 1%.

10. Tanga: LOWASSA 54%, MAGUFULI 42%, ACT 2%, wengine 2%.

11. Arusha: LOWASSA 73%, MAGUFULI 25%, ACT 1%, wengine 1%.

12. Manyara LOWASSA 61%, MAGUFULI 35%, ACT 3%, wengine 1%.

13. Kagera LOWASSA 57%, MAGUFULI 40%, ACT 2%, wengine 1%.

14. Pemba kas LOWASSA 82%, MAGUFULI 14%, ACT chini ya 1%, wengine 3%

15. Mjini magh LOWASSA 51%, MAGUFULI 44%, ACT chini ya 1%, wengine 4%.

16. Unguja kas MAGUFULI 48%, LOWASSA 43%, ACT 1%, wengine 8%.

17. Tabora: MAGUFULI 54%, LOWASSA 39%, ACT 5%, wengine 2%.

18. Kigoma: LOWASSA 44%, MAGUFULI 36%, ACT 18%, wengine 2%.

19. Geita: MAGUFULI 65%, LOWASSA 33%, ACT 1% wengine 1%.

20. Morogoro: MAGUFULI 51%, LOWASSA 46%, ACT 2%, wengine 1%.

Pia matokeo ya jumla yameonyesha kuwa LOWASSA angeshinda/atashinda kwa 54.2%, akifuatiwa na MAGUFULI 41.7%, ACT 3.3% huku wagombea wengine kwa ujumla wakiambulia chini ya 1%.

NB! Naendelea kufanya juhudi niwatumie vipengele vingine vya huu utafiti hususan upande wa wabunge, udiwani, kukubalika kwa kila chama kwa jinsia, umri nk
ujanjaujanja hadaa usanii mizungu mazingaombwe rushwa utabiri wa manabii yote yatagonga ukuta. watanzania oct 25 watamchagua mtu muadilifu na mchapakazi john pombe magufuli. takwimu zako peleka chadema.
 
Chadema asilia tulishaamua kumpigia kura Magufuli kama Dr Slaa alivyotuhamasisha. Kura zooooote kwa Magufuli.
Na pia kwa sababu Gwajima alitutusi waislam kwa kusema atakwenda kugeuza misikiti yote nchini yawe maholi ya watoto wa sunday school za kanisa!
Na kwa sababu Gwajima huyo huyo ndie aliyetuletea Lowasa yeye akiwa kama mshenga baaaaasi! Habari imeishia hapoo! Mtaisoma namba subirini.
Mbowe na group lako mtalia na kusaga meno mwaka huu. Anyway najua hamtaumia sana kwa sababu kama mabilioni ya pesa mmeshayapiga. Mungu awape nini.
 
Wafuasi wa chadema wale wanaojiita Wazalendo wamekubaliana na kile kitakachotokea katika uchaguzi wa october 25. Wanachama hao wanadai chama chao kilikuwa kinapigania misingi ya maadili lakini pale kilipoachana na agenda hiyo basi wao tayari wanaona chama kimeshindwa na kuamua kumuunga mkono Dr Slaa ambaye yeye ameendelea na kusimamia maadili ya viongozi pamoja na kupiga vita rushwa.

Kamanda hatuwezi kukubali kushindwa kwa sababu ukweli ndio unaendelea kutuweka huru.
Tazama anguko kuu la chadema mafisadi linakuja. Stay tuned! Hapi ndipo chadema asilia itaibuka kwa nguvu ya wanachama. Natamani siku ifike haraka sana
 
Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!
Nyie wote mnaojifanya chadema ya mabadiliko tunajua mtapotea mara baada ya uchaguzi. Mnalipwa kwa kushabikia ufisadi na mafisadi. Baada ya uchaguzi hamtatambulika teena.
 
mtu unakuta ana kadi namba 20050 alafu anajiita mzalendo? je mwenye kadi namba 1 atajiita nani?
 
Nyie wote mnaojifanya chadema ya mabadiliko tunajua mtapotea mara baada ya uchaguzi. Mnalipwa kwa kushabikia ufisadi na mafisadi. Baada ya uchaguzi hamtatambulika teena.

mbona huyo bondia wenu anadanganya watu kuwa ataanzisha mahakama ya mafisadi huku yeye akiwa ni moja ya mafisadi na watu waliolitia hili taifa hasara kubwa kwa maamuzi yake ya kukurupuka?
 
Nilichogundua wote mnaojifanya viva, hakuna hata mmoja mwenye kadi ya CDM! CDM mzalendo kama mimi siwezi kuchezea hii fursa ya mabadiliko kisa hongo na mchumba!

Mabadilikooooooooo Lowassaaaaaaaaaaaaa
 
Mbona CHADEMA kilishakufa kibudu Mbowe alipopokea peremende, chezea nchaga weye!
 
Ccm kweli wameelemewa. Sasa imebidi wajiite eti makamanda wa chadema. Chadema ni mojavwale waliopinga wameondoka!
 
Back
Top Bottom