CHADEMA waweka bayana msimamo wao juu ya yaliyowasibu ma-Sheikh Ponda na Farid

mi mwenyewe sijalipenda ingawa chadema ni chama changu!, binafsi nlitaka Ponda asipewe dhamana (hata kama ni kinyume na sheria) kwa sababu uchochezi wake utatuingiza katika janga la vita ya wenyewe kwa wenyewe. ila nakubaliana viongozi wetu, na nadhani wameliona kwa mapana zaidi!

ponda ni gaidi, anastahili dhamana? Nakubaliana na wewe. Panapomfaa ni Guantanamo bay kuleeeee cuba
 
Pamoja na yote Ponda apewe haki yake kama muhalifu taratibu zifuatwe kama sivyo taratibu zifutwe pia
 
Nasikitikita kwamba ninapogundua kuwa watu hawaangalii vyanzo vya matatizo. Hivi kwa nini matukio ya kukojolea Qur'an yanaongezeka? Mnataka waislamu wafanyeje? Sawa serikali zote duniani ni zenu, waislamu wasubiri dunia itakaposawazishwa, milima na bahari kutawanywa. Naam, kwani utaona wakristu wakiwachokoa waislam katika imani zao kisha wao ndio wanaotetewa. Pia utaona kuwa mikakati yote inayofanywa na serikali nyingi lengo ni kuudhoofisha uislamu na waislamu. Lakini jueni kuwa uislamu utabaki kuwa ni amani na si amani ya kisanii kama wakristu wanavyofundishwa na wayahudi kuuchukia uislamu na kufanya hila mbalimbali huku wakijua kwa vyovyote waislamu watapatikana tu. KUMBUKENI kuwa waislamu wote wakifa basi dunia ndio imefikia kikomo na Muumba atatimiza ahadi yake kwa kuisawazisha milima na kuzitawanya bahari zote kwa ghadhabu, kisha wote tutakutana na kuona ukweli wote.
 
Back
Top Bottom