CHADEMA watueleze kila kitu kuhusu maridhiano, sio mapendekezo yaliyokataliwa pekee

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,036
142,117
CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.

Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.

Jumaa Mubarak 😄
 
Chadema watakapokuwa wanatueleza Yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho

Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana

Jumaa Mubarak
Kwani hao waliokuwa wakiwapa posho ni pesa kutoka kwenye mifuko yao?
Kama ni kutoka kwenye mfuko wa wananchi(kodi)
Je walipewa ruhusa na wananchi welipe posho pesa zao?
Unapotaka kuandika fikiri kwanza masuali utakayoibua kabla ya kuliweka andishi lako hadharani.
 
CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.

Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.

Jumaa Mubarak 😄
Naunga mkono hoja!
 
Muulize Samia anayo majibu mujarab.
 
CHADEMA watakapokuwa wanatueleza yaliyomo kwenye Maridhiano wasisahau kutueleza na Bajeti ya Vikao ilikuwa bei gani na kama Wajumbe wao walilipwa Posho.

Bado hatujasahau UKAWA walivyokuwa Posho zote za Bunge la Katiba na kisha kutokomea kusikojulikana.

Jumaa Mubarak 😄
Hilo la posho na kadhalika ni la kwako.
Na bahati nzuri hawatishiki.

Kikubwa waeleze hayo maridhiano contextual maana nchi hii kuna watu wamejimilikisha huku wakituhadaa na chaguzi za kubumba
 
Back
Top Bottom