Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya uchaguzi kuwa chadema watashinda kwa kishindo. CCM Kata 23 Chadema Kata 05 TLP Kata 01, wasiojua hesabu wataFIKILI Chadema wamepanda kumbe ni hesabu za kizamani, hivi kobe kwa mwendo wake anaweza kushindana mwendo kasi na Gari? Ndivyo Chadema watakavyo jipongeza. Hebu tuhoji matumizi ya fedha makubwa kwenye kampeni na matokeo haya uwiano upo kweli?.
Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa
Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa