Chadema wateswa na CCM

tata mura

JF-Expert Member
Sep 27, 2012
275
49
Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya uchaguzi kuwa chadema watashinda kwa kishindo. CCM Kata 23 Chadema Kata 05 TLP Kata 01, wasiojua hesabu wataFIKILI Chadema wamepanda kumbe ni hesabu za kizamani, hivi kobe kwa mwendo wake anaweza kushindana mwendo kasi na Gari? Ndivyo Chadema watakavyo jipongeza. Hebu tuhoji matumizi ya fedha makubwa kwenye kampeni na matokeo haya uwiano upo kweli?.

Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa
 
upo sehemu gani hapa lumumba nikununulie chakula kabla hujaenda kwa Nape kudai ujira wako kwa thread yako hii?
 
Katika matokeo ya Madiwani yaliyokuwa yanasubiliwa na wengi yameonyesha kuwa bado CCM ni Chama ambacho bado kinakubalika kwa wengi, licha ya majigambo mengi kwa viongozi wa chadema kabla ya uchaguzi kuwa chadema watashinda kwa kishindo. CCM Kata 23 Chadema Kata 05 TLP Kata 01, wasiojua hesabu wataFIKILI Chadema wamepanda kumbe ni hesabu za kizamani, hivi kobe kwa mwendo wake anaweza kushindana mwendo kasi na Gari? Ndivyo Chadema watakavyo jipongeza. Hebu tuhoji matumizi ya fedha makubwa kwenye kampeni na matokeo haya uwiano upo kweli?.

Tafakari kisha ungana kujenge Nchi siyo kuibomoa

Itabidi wachapane Makonde na wao ndipo waweze kushindana na chama kubwa CCM, subiri kimbunga 2015, hata hizo tano sasa hawatazipata.
 
Haya matoke c mazuri kabisa kwa chadema huo ndo ukweli ni lazima chadema wakae watafakari tatizo ni nini?
 
Tukipata takwimu kwa kila kata ya uchaguzi itakuwa nzuri zaidi.
Takwimu tena za nini wakati umeshaambiwa CCM 23, CDM 5, TLP 1. Au ndo kusema haujaamini macho yako? wengine tunajua CCM ni noma wao si wakuongea majukwaani vitendo tu.
 
Labda ni kutafakari tu,
Kabla ya chaguzi hizo CCM ilikuwa inashikia kata ngapi? Hivyo hivyo kwa CDM,TLP na wengine?
Baada ya hapo kujua imeongeza idadi ya kata ilizokuwa inashikilia awali au imepunguza? Na kwa asilimia ngapi?
Then, utajua nani kafanya nini.
 
hicho ulichosema mleta uzi kweli,lakini kweli zaid ni kwamba ccm imepunguza idadi ya madiwan na chadema imeongeza,binafsi nilitegemea ushindi mkubwa zaidi,lakini matumaini yngu bado ni makubwa na cdm,
 
du huu ni ushindi mkubwa kwa cdm sikutegemea kwenye huu wakati mgumu wa undemocrasia maanake kila kitu ni cha ccm ....hakika cdm wamenifurahisha endeleza m4c ....pole pole tutafika
kumbuka ccm 50 yrs + ubabe + pesa +wizi sio sawa na cdm 20 yrs
 
all in all, itabidi tukae kitako kuangalia mbinu gani ccm wanazitumia na tupunguze maneno mengi jukwaani yasiyokuwa na msingi hasa malumbano, shutuma na lawama. kwa sasa wananchi wengi wamekuwa waelewa hivyo wanahitaji hoja hivyo dakk tulizonazo zitumike kwa makini. nimeshuhudia mkutano mahali fulani dah, jamaaa mwanzo mwisho ni vitisho mwisho akafuatwa kwamba muda umekwisha ampishe mgombea alonge wakati yeye ndo alipaswa kumnadi. dah alipofika naye mgombea naye mwanzo mwisho ndani ya dkk 05 alizobakiziwa. hii inapaswa kuwekewa kamati tuijadili au la!!!
 
Ni kweli mkuu ccm wameitesa sana chadema.kwenye kata niliko kulikuwa na uchaguzi wa diwani na ccm wameibuka kidedea baada ya kumwondowa msimamizi msaidizi ambae walimwona kuwa hata wasaidia kupata ushindi na kumweka yule ambae waliona kuwa atawasaidia. kitu ambacho chadema hawakuwa na uwezo wa kukifanya.walizunguka kwa kila mpiga kura kwa kufuata orodha ya kwenye daftari majira ya usiku na kutowa tsh10000/=kwa kila mpiga kura jumla walikuwa wapiga kura 2000.kupandikiza chuki kati yawananchi na chadema kwa kuwashambulia wananchi usiku na kuwaaminisha wananchi kuwa waliofanya hivyo ni chadema na kuwalaghai wale ambao wamekataa matakwa yao kuwa wakienda kupiga kura watapigwa mabom na polisi na wakati huo polisi wanakuwepo kwa ajili ya usalama. wakati huo huo wanawageukia wapiga kura wao waliohongwa na kuwaambia kuwa wasihofu kwenda kupiga kura hawatashambuliwa na chadema waliyokuwa wanawashambulia kwani wamewaletea askari wa kuwalinda.walitumia ujinga wawapiga kura ambao wanaiona ccm kama mama yao na baba yao.mbinu ambayo chadema hawana na kwa mtindo huu ccm watazidi kuitesa chadema.
 
Back
Top Bottom