CHADEMA watangaza kuanza operesheni ''Umoja wa Kupambana na Udikteta Tanzania" (UKUTA)

Na vizuri huu mkutano uanzie uchagani, msipeleke maji taka katika mikoa ya wastaarabu....watu wanatafuta riziki mnataka mkatafute sababu ya kujilipa per diem...
 
Dawa za asiliza nguvu za kiume kwa sh 15000..dawa ni za mitishamba zinatibu kuwahi kupiz
.uchovu wa kushindwa kurudia raundi nyingi..uume legelege..uhanithi..nitafute kupitia https://jamii.app/JFUserGuide..wale wa mikoan mtatumiwa kwa njia ya basi
umepotea nini?
 
Wewe uwezo wako kufikiri ni mdogo sana ndo hujaelewa kilichosemwa na viongozi wa CHADEMA
Ha ha ha ha haya mwana UKUTA. Lakini nakuhakikishia kuwa Law and Order lazima vichukue mkondo wake
 
IMG-20160727-WA0217.jpg
Mkishatoka oparesheni UKUTA anzisheni oparesheni UKUDA maana nyie ni wakuda balaa hamjielewagi sijui nani aliwaroga, itabidi nimuite mshenga awaaombee

Eti vinasema mahakama inaingiliwa tena vinasema wanasheria wao waangalie mambo ya kisheria hivi hayo mambo ya kisheria vitayapeleka chooni sijui, hii ni paradox
 
Yaani siku hizo nne ( 4 ) ndizo walikuwa wanajadili tu hiyo UKUTA yao? Halafu bado utaniambia kuwa hicho ni Chama cha Siasa na kuwa kuna upinzani Tanzania?
Hahahaaa kwa kua hujafikwa basi una haki ya kuendelea na hayo maruhani
 
Yule waziri aliyefukuzwa kwa sababu kuingia Bungeni akiwa amelewa alikuwa CHADEMA?
Nduguzenu muwakumbushe kuhudhuria hiyo mikutano, mnatafuna ruzuku halafu mnawatumia wanywa viroba kama mtaji...muda sio rafiki. Mjipange
 
Kyela HATUTA ANDAMANA ng'oo!
Tutaomba kibali polisi,wakitunyima tutarudi ktk drawboard yetu ya kumuondoa madarakani Mbowe

Siasa za kisayansi hazihitaji kugombana na dola
 
Wasituendeshe hawa jamaa; cku zote wakishakunywa nnihii zao wanaenda mbeya, ntwara, mwanza, wakome. wapeleke moshi mjini kama wakajenge kuta zao huko.

Wakati mhishimiwa mstaafu anatafu udhamini akiwa kwenye basi la matumaini, wananchi waliambiwa hana haki ya kutembea barabarani alipashwa awe segerea. Leo wameshikana nae, huu ni kutupuuza watanzania.

Fisadi, Fisadi, Fisadi, leo mjumbe wa kamati kuu, mkutaano maalum, UKUTA
hata aibu hawana,
 
Wasituendeshe hawa jamaa; cku zote wakishakunywa nnihii zao wanaenda mbeya, ntwara, mwanza, wakome. wapeleke moshi mjini kama wakajenge kuta zao huko.
Wakati mhishimiwa mstaafu anatafu udhamini akiwa kwenye basi la matumaini, wananchi waliambiwa hana haki ya kutembea barabarani alipashwa awe segerea. Leo wameshikana nae, huu ni kutupuuza watanzania. Fisadi, Fisadi, Fisadi, leo mjumbe wa kamati kuu, mkutaano maalum, UKUTA
hata aibu hawana,

Wasikuendeshe wewe na nani ?...Jisemee wewe usitusemee wengine sie tuna allergy na Magamba
 
Mandamano ni muhimu! Maana kunawatu wanaona wenzao kama matahira! kule chamani et kashinda 100% wakati maisha yanaendelea kuwa magumu! Ni bora watu tuandamane wajue kwamba hatukotayari kuishi kama mashetani kama anavyotaka tuwe!
 
Back
Top Bottom